Habari wana MMU,
Nimekuwa nikiota nashindwa kupita kwenye daraja nyembamba ya miti au njia za milimani. msaada tafadhal
Habari wana MMU,
Nimekuwa nikiota nashindwa kupita kwenye daraja nyembamba ya miti au njia za milimani. msaada tafadhal
Habari wana MMU,
Nimekuwa nikiota nashindwa kupita kwenye daraja nyembamba ya miti au njia za milimani. msaada tafadhal
We we ni RAIA wa wapi: Rwanda???!!" , Tanzania?????!! SA???????nmeota kwenye taifa 1 linalonyanyasa wananchi wake na viongozi kujiona miungu watu kuna malaika 2 walishuka toka mbinguni 1 akawa kashika rungu anamponda kichwani mfalme wa lile taifa na malaika mwingne kashika upanga mkali anakata miguu ya huyu mfalme wakakinga damu kwenye ndoo ilipojaa watu waliwekewa kwenye vikombe kama chai watu mamilioni ...,cha kushangaza kila damu ilipokasibia kwisha kwenye ile ndoo ilikua inajaa tena..
Tena hivi hivi tyta, na cha ajabu wengime wanakuwa wanapita bila wasiwasi, mi nashindwa hadi naahirisha safari
'bado hujaimaliza ndoto Ellen76 uko kwenye daraja from nowhere yani ulitokea wapi au ulijikuta tu uko darajani sura za kina nani uliziona au kuna watu hilo eneo au hakuna kama wapo kuna mtu aliyetaka kukusaidia au Kila mtu na time yake na ilikuwa muda gani mchana au usiku na umeshindwa kupata vipi ulijaribu kupita tukawa huwezi coz daraja jembamba au kati limevunjika na ulishaanza kuliingia au uliogopa hata kuliingia malizia ndoto bado hujaimaliza mammy'
literaly..
Utakuwa ulishiba sana usiku. Inashauriwa usile sana usiku matokeo yake ndo kuona mawengemawenge kama hayo.