Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Habari wana MMU,
Nimekuwa nikiota nashindwa kupita kwenye daraja nyembamba ya miti au njia za milimani. msaada tafadhal

Wew ni mpenzi wa Chelsea bilashaka, sasa hautaota tena maana jana wamepindua matokeo. Sasa saivi ni mpaka finali
 
nmeota kwenye taifa 1 linalonyanyasa wananchi wake na viongozi kujiona miungu watu kuna malaika 2 walishuka toka mbinguni 1 akawa kashika rungu anamponda kichwani mfalme wa lile taifa na malaika mwingne kashika upanga mkali anakata miguu ya huyu mfalme wakakinga damu kwenye ndoo ilipojaa watu waliwekewa kwenye vikombe kama chai watu mamilioni ...,cha kushangaza kila damu ilipokasibia kwisha kwenye ile ndoo ilikua inajaa tena..
 
Habari wana MMU,
Nimekuwa nikiota nashindwa kupita kwenye daraja nyembamba ya miti au njia za milimani. msaada tafadhal

literaly..
Hussaini-Hanging-Bridge.1-most-adventurous-bridge.jpg
 
Lala tena halafu ukiamka utuambie ndoto yako iliishia wapi maana inaonekana inaendela hiyo.
 
Tena hivi hivi tyta, na cha ajabu wengime wanakuwa wanapita bila wasiwasi, mi nashindwa hadi naahirisha safari
 
Habari wana MMU,
Nimekuwa nikiota nashindwa kupita kwenye daraja nyembamba ya miti au njia za milimani. msaada tafadhal

'bado hujaimaliza ndoto Ellen76 uko kwenye daraja from nowhere yani ulitokea wapi au ulijikuta tu uko darajani sura za kina nani uliziona au kuna watu hilo eneo au hakuna kama wapo kuna mtu aliyetaka kukusaidia au Kila mtu na time yake na ilikuwa muda gani mchana au usiku na umeshindwa kupata vipi ulijaribu kupita tukawa huwezi coz daraja jembamba au kati limevunjika na ulishaanza kuliingia au uliogopa hata kuliingia malizia ndoto bado hujaimaliza mammy'
 
Last edited by a moderator:
nmeota kwenye taifa 1 linalonyanyasa wananchi wake na viongozi kujiona miungu watu kuna malaika 2 walishuka toka mbinguni 1 akawa kashika rungu anamponda kichwani mfalme wa lile taifa na malaika mwingne kashika upanga mkali anakata miguu ya huyu mfalme wakakinga damu kwenye ndoo ilipojaa watu waliwekewa kwenye vikombe kama chai watu mamilioni ...,cha kushangaza kila damu ilipokasibia kwisha kwenye ile ndoo ilikua inajaa tena..
We we ni RAIA wa wapi: Rwanda???!!" , Tanzania?????!! SA???????
 
Tena hivi hivi tyta, na cha ajabu wengime wanakuwa wanapita bila wasiwasi, mi nashindwa hadi naahirisha safari

'ndoto zinatafsirika kwa aina nyingi yawezekana kuna hatari mbele yataka kukutokea lakini hukuifikia ukawa umegeuza mawazo yako na kuipa mgongo hatari hiyo ndo mana ukageuza safari au hivyo MUNGU Unaweza akakuepushia na jambo baya labda linalotaka kutokea'
 
'bado hujaimaliza ndoto Ellen76 uko kwenye daraja from nowhere yani ulitokea wapi au ulijikuta tu uko darajani sura za kina nani uliziona au kuna watu hilo eneo au hakuna kama wapo kuna mtu aliyetaka kukusaidia au Kila mtu na time yake na ilikuwa muda gani mchana au usiku na umeshindwa kupata vipi ulijaribu kupita tukawa huwezi coz daraja jembamba au kati limevunjika na ulishaanza kuliingia au uliogopa hata kuliingia malizia ndoto bado hujaimaliza mammy'

Umenisaidia mkuu na anaiota kila siku na inakua hivyo hivyo,
Ameiota mara ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Grace acha wakubeze ila imeandikwa ' siku za mwisho wazee wataota ndoto na vijana watapata maono'. Mie nabashoro ndoto hii maana yake ni kuondoka kwa utawala wa CCM madarakani na kuingia kwa CDM kwani kama ni damu CCM walishaimwaga sana tu!
 
Utakuwa ulishiba sana usiku. Inashauriwa usile sana usiku matokeo yake ndo kuona mawengemawenge kama hayo.
 
Inamaanisha wewe huwezi ingia mbinguni si unajua njia ya mbinguni ni nyembamba na misukosuko kibao njiani

Pole sana.
 
achana na wanaokubeza,,,mungu amekuonyesha mwisho wa udhalimu wa ccm umefika.,,chama chenye uzalendo itachukua serikali.mshukuru mungu sbb amekupa maono kuwa ccm imefika kikomo na mwanzo wa utawala wa cdm utanza soon
 
Back
Top Bottom