Hahaaa eti nusu mkate hahahaha mm naona n kama Bentley[emoji23][emoji23][emoji23]cjui nimepatia uandish[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo lipo kwenye ENGAGE yaan inachelewa kutoa na kupokea gia,mafundi wanaelewa mwambie Kanusu mkate kangu nakapenda Sana lakini tatizo nihilo tu.watakusaidi bro
Nenda garage huko utakuta mafundi, humu utaambulia story tu!Habari zenu members,
Mimi natumia Toyota Passo,ila hivi karibuni nimegundua ninapobadilisha gia kabla haijanipeleka kwnye gia ninayoitaka mf.kutoka kwenye P arking kwenda kwenye Reverse/na nyinginezo gari yangu imekua inafanya kama kuruka/kushtuka kwa kuruka ndio gia inabadilika,Je hilo ni tatizo gani?
Hilo tatizo hata kwangu lipo. Napata shaka na hizi gariHabari zenu members,
Mimi natumia Toyota Passo,ila hivi karibuni nimegundua ninapobadilisha gia kabla haijanipeleka kwnye gia ninayoitaka mf.kutoka kwenye P arking kwenda kwenye Reverse/na nyinginezo gari yangu imekua inafanya kama kuruka/kushtuka kwa kuruka ndio gia inabadilika,Je hilo ni tatizo gani?
Lumumba resident.We umeharibu uzi,Chato imeingiaje hapo.Kama hukuwa na cha kuchangia si ungenyamaza?
Hiyo converter mkuu ndio tabu kidogo kuielewa.. matengenezo yake yapoje???Kuna mawili. Inawezekana gearbox mount imekufa au hydrolic ya gearbox imeshakaa muda mrefu na inahitaji kubadilishwa. But in the worst case scenario inawezekana converter inayokaa ndani ya gearbox imekufa!
Acha uwongo wewe.una kapenda wapi we sema tu sina hela ya kununua nyingine maana.uki kauza hako pesa.yake.hata sunlg ina bei bado
Mkuu ongezea pangaboi maisha yako yawe ya hewani tu kwa maisha ya daslam utainjoi sana,kila la Kheri passo dreamliner for life.Habari zenu members,
Mimi natumia Toyota Passo,ila hivi karibuni nimegundua ninapobadilisha gia kabla haijanipeleka kwnye gia ninayoitaka mf.kutoka kwenye P arking kwenda kwenye Reverse/na nyinginezo gari yangu imekua inafanya kama kuruka/kushtuka kwa kuruka ndio gia inabadilika,Je hilo ni tatizo gani?
Hivi kipasso nacho kina cross member? utani huuItakuwa na tatizo la Closse members, iwahishe kwa fundi, ukiipisha kwenye mashimo unaweza kuiacha Gari
Daaah hahahaa.... Sasa bajaji matairi matatu wanawake watanitaka kweli?
converter ni sawa na clutch plate kwenye gari ya manual.. Ikiwa imekufa shusha gearbox uende na converter Kariakoo gerezani ukatafute ingine.Hiyo converter mkuu ndio tabu kidogo kuielewa.. matengenezo yake yapoje???
mkuu hizi gari hasa toyota passo zina sumbua sana hasa kutembelea km nyingi yani masafa malefu hazitaki hizi ni spesho kwa kuendea job na visafar vifupi fupi pia service za ujanja hazitaki kabisaKati ya magari madogo yaliyo mengi watu wengi wamelalamikia Passo na Mazda Demio kuwa zinasumbua, shida ni nini, wataalamu mnijuze kidogo.
uongo upi bei ya toyota passo una ijua weweAcha uwongo wewe.