Nini tumezidiana Wakenya na Watanzania?

hakuna slums tanzania just informal settlement, unajua kibera ni ya ngap kwenye solar system?
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250529-031024.jpg
    230.7 KB · Views: 22
hakuna slums tanzania just informal settlement, unajua kibera ni ya ngap kwenye solar system?
Pumbavu ,do you even know what the word slum means ?
You don't have lowest commonsense and you don't even know how to use Google yet .
Google the meaning of the word slum and find out if you aren't amongst slums dwellers scattered like rats allover Dar es Salaam
 
imagine kibera alone has 1M kenyans WTF
 
Eversend ni nzuri kuliko NALA. Mtu aliyeoko Nigeria, Ghana, Benin, Cameroon, Togo na nchi za magharibi hawezi kukutumia pesa kuja TZ.
World remitly kwa baadhi ya nchi ila Eversend ni bora kwangu
alafu these days u can receive payment straight from an individual card sio lazima kue na middle man kama paypal mfano i use selcom for payments it accepts credit, debit cards from anywhere on earth which is what most peoppe have
 
Wangekuwa na akili wangeenda kufua chupi za waarabu middle east
 
Mfano. Unaweza kuuza software mtandaoni na ukapokea pesa zako bila kuongea na mteja. Mtu analipa na anapakua software yake bila kuwasiliana developer. Paypal inafanya hivyo
World remitly au Nala ina huduma hiyo?
Mbona umeng'ang'ania sana mambo ya Paypal?
Mbona mimi natumia Paypal kwa malipo bila wasiwasi wowote.
 
Moja, Landscape ya media Tanzania na Kenya ni mbingu na ardhi. Ukiangalia TV Stations za Kenya ni kama unaangalia CNN, Al Jazeera au BBC kuanzia ubora teknolojia, vifaa, watangazaji, content na uhuru.

Mbili, Hakuna benki Africa Mashariki za kuzikaribia KCB na Equity Bank.

Tatu, wageni kuanzisha Bank au media hawakombi rasilimali zozote. Wageni kupewa bandari, madini, gas na mapori ndio kukomba rasilimali.

PS: Nimeamua kupuuza mjadala wa nani anamiliki hizo media na Bank zilizopo Kenya au Tanzania kwa sababu hauna mashiko yoyote
Sijaenda mbali pia kuongelea huo mpira kwa mfano tunaosema tumewazidi hatujawahi kushinda taji lolote la maana hata la Africa wakati wao kwenye mbio/riadha kila mwaka wanashinda medali za dhahabu za kidunia na wako Top five katika mbio kidunia.

Sijataka kuzungumzia kwamba wakati sisi Kingereza kinatupiga chenga sana wao wanaongea Kingereza na Kiswahili vizuri kabisa cha kueleweka popote Tanzania..

Sijataka kuzungumzia kwamba katika huo muziki ukimuondoa Diamond tu wanaweza kuwa wametuzidi mbali.
 
reminds me of kibera and pipeline without forgeting mathare, btw do you kibera is the 2nd largest slum in the milky way galaxy
Slums nyingine kubwa zaidi ziko Africa Kusini na Nigeria.
 
Mkuu bila Magufuli kujenga miundominu ya Usafiri kama Treni na Barabara yani Wakenya wangetutukana na tungekua Wanyonge sana, Maana bila Magufuli mpaka leo tunge baki na Barabara mbovu na ndege hazipo. Flyover hakuna yani ingekuwa uzuni, ndiyo Maana matusi yote kutoka Kenya ni Elimu mbovu ya Wabunge tu.
 
Tanzania ukitangaza Ajira ya Mshahara wa laki 3 Uwanja wa Taifa una jaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…