Nini tumezidiana Wakenya na Watanzania?

benki zote za kenya zilizopo tz ni benki ndogo sio competitive, na hazijawahi kutangaza faida equity ya tz ilishanunuliwa na tz

media uongo, hakuna media kenya inaonyesha content zenye viwango kushinda azam, infact ukanda wote wa afrika mashariki na kati ni azam pekee ndo ana vifaa vya kuonyesha content za kimataifa ikiwemo mpira

infact mpira wa kenya unadhamimiwa na azam

kenya hawaongei kiswahili ni wakoloni watiifu wa british,
 
unajua uchumi wa tanzania at one point ulikua mkubwa kuliko wote east afrika?
 
12. Viongozi wanaojielewa wakenya wametupiga gape kubwa sana upande wa viongozi

13. Tunafanana wote ni kenge siye kenge wa ndani wao kenge wa nje
Hapo kwemye viongozi sina uhakika, ninafanya biashara kenya. Swala la ufisadi kwa viongozi wao ni jambo la kawaida sana sema wananchi wao ndo wanajielewa ila sio viongozi wao.
 
Hapo kwemye viongozi sina uhakika, ninafanya biashara kenya. Swala la ufisadi kwa viongozi wao ni jambo la kawaida sana sema wananchi wao ndo wanajielewa ila sio viongozi wao.
according kwenye research inaonekana wananchi ndo hawajielewi zaidi, asilimia 60% ya waajiri wamesema hawawezi kuajiri genz
 
Kingine wanachotuzidi ni technolojia na ubunifu wako vizuri sana.

Ingawa wana uchumi mkubwa, lakini kimaisha binafsi wana maisha ya ovyo kulinganisha na Tanzania.
 
Wote ni masikini waafrika wajinga.

Kutambiana upumbavu tu wakati dunia ina kimbia.
Tunaweza kuwa maskini lakin tunazidiana uwezo. Wakenya wameamka na wanatambea sisi brain yetu bado imelala...tuache siasa jamaa wametuzidi. Ndio maana PK alisema akikabidhiwa bandari tu basi nchi itakua tajiri kwasasa anajua watanzania ni wajinga na viongozi wao ni mazwazwa
 
according kwenye research inaonekana wananchi ndo hawajielewi zaidi, asilimia 60% ya waajiri wamesema hawawezi kuajiri genz
Naweza kubaliana na wewe kwa swala la kujielewa pengine kitu wanatuzidi ni ile umoja wao kitu kubachowapa faida wachache wnaojielewa na kuwatumia wengi wasiojielewa.
 
Namaanisha ukiishi Tanzania afu ukaishi Kenya hutatamani uweke maisha yako ya kudumu Kenya labda kama unalazimika kulingana na kazi au biashara ila sio kwa machaguo.
Watanzania kuishi nchi yoyote nje ya Tanzania ni vigumu sana.
 
Kuna tatizo gani pesa kuwa overvalued?
maaana yake exchange rate haiko sahihi, exchange rates znaengenezwa manually but depending na kiasi cha reserve ulicho nacho ila yao haijazingatia kigezo icho wameamua tu
 
maaana yake exchange rate haiko sahihi, exchange rates znaengenezwa manually but depending na kiasi cha reserve ulicho nacho ila yao haijazingatia kigezo icho wameamua tu
Exchange rate isipokuwa sahihi inakuwa na shida gani katika uchumi wa nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…