Nini tumezidiana Wakenya na Watanzania?

Kingine wanachotuzidi ni technolojia na ubunifu wako vizuri sana.

Ingawa wana uchumi mkubwa, lakini kimaisha binafsi wana maisha ya ovyo kulinganisha na Tanzania.
tech gan nzuri wanayo sasa?
 
ushawahi kwenda kenya?
 
Naweza kubaliana na wewe kwa swala la kujielewa pengine kitu wanatuzidi ni ile umoja wao kitu kubachowapa faida wachache wnaojielewa na kuwatumia wengi wasiojielewa.
vurugu sio kujielewa, hata marekani na ukubwa wake wote ila kwenye swala la vurugu ama vita hawako tayar kuchafua nchi yao, likewise putin anapigana nje ya nchi yake
 
Namaanisha ukiishi Tanzania afu ukaishi Kenya hutatamani uweke maisha yako ya kudumu Kenya labda kama unalazimika kulingana na kazi au biashara ila sio kwa machaguo.
nkikutumia documetary apa ya maisha ya kenya utashukuru mara 1000 kuishi bongo, we arent perfect ila kwa kenya mzee pale jehanam
 
si ndo hio wanakuja kuringia uku
Soma CVs za gavana wa sasa na aliyepita wa benki kuu ya Kenya halafu linganisha na gavana wa sasa na aliyepita wa benki kuu ya nchi yako.
 
If we make you sick, why don't die so that you can rest forever?! Eeiiishhh!!
Sio kwa panic hii bro...
Get well soon!
 
nkikutumia documetary apa ya maisha ya kenya utashukuru mara 1000 kuishi bongo, we arent perfect ila kwa kenya mzee pale jehanam
Maisha ya Tz huwezi linganisha na nchi yoyote ile Africa mashariki sema tu wachache wanaanza kuipeleka kubaya. Bongo ni pazuri sana sema ndo ivyo.
 
Maisha ya Tz huwezi linganisha na nchi yoyote ile Africa mashariki sema tu wachache wanaanza kuipeleka kubaya. Bongo ni pazuri sana sema ndo ivyo.
 
Kuna kitu kikubwa wakenya wametuzidi sisi watz. Ukisoma vizuri majibu ya yule mbunge wa Kenya alivyowajibu wabunge wa Tz basi basi utakigundua.
 
Furahi sasa nchi yako ni bora kuliko South Africa, India na Mexico zilizo G20.
as we said we have our own problems but kwa nyie aisee poverty mlionayo ni special
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…