Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #101
Basi na ikawe hivyo mkuu.Michongo tuu ITEME PESA.
mengine sio muhim sana/kabisa
Basi na ikawe hivyo mkuu.Michongo tuu ITEME PESA.
mengine sio muhim sana/kabisa
Nimegundua ndoto zangu zina evolve.Naamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake.
Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.
View attachment 3320506
🤣🤣🤣🤣🤣tuacheni utani ukijiingiza kwa mashangazi unapoteana…nilkuaga na mshangazi mmoja wakingoni yaan mimi kama kisismiz mshangazi tembo uliniharibu kisaikolojia mashangazi wana experience na mibinuano alaf hawana maigizo unapewa hadi kwenu unasahau yule mngoni alikua yupo bara ila anajambia visiwani, nkahama mshangazi unajisafirsha unavuta hoteli anakuimport unajikoji na nguvu za nchi jirani unaibuka🙌🙌🙌Sasa sema T3+P (PESA)
Ila ni kweli, mishangazi hatuna utani kwenye mibinuano, ndo mambo yetu hayo 😂 😂.
Haya kila la kheri, ukapate mshangazi atakayekupa mbususu na kukusaidia kufikia malengo yako ya financial freedom.
ShukraniSawa, all the best uzipate hizo raha unazozitamani.
True kabisa, sometimes ndoto zinabadilika na kuevolve.Nimegundua ndoto zangu zina evolve.
They will remain a Selassian illussion, to be pursued, but never attained.
SikuTanzania ikiwa na kambi ya kijeshi usaNaamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake.
Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.
View attachment 3320506
Pia, kama ndoto zina evolve kuelekea direction fulani, na inabidi kuifikia ndoto ya kwanza ili uwe katika nafasi ya kuifikia ndoto ya pili, kuifikia ndoto ya kwanza na kuanza kuifanyia kazi ya pili ni vizuri tu.True kabisa, sometimes ndoto zinabadilika na kuevolve.
Pengine kuzifikia si muhimu, bali cha muhimu ni ile purpose ya maisha inayotokana na kutaka kufikia malengo flani au kuyapigania.
Daah mami wewe ni mwanamke wa shoka haswa. Hujachoka kuingia leba?Watano 5 tuu kipenzi
Amen. Ntakualika kwenye harusiNa ikawe kheri, ujaliwe kupata mke mwema, mwenye upendo na busara.
Haiombwagi hivyo 😂😂😂😂🤭Ukishapata nishati kwa kula ni mwendo wa kuichoma tu
Inategemea, mwingine anasema,gari, nyumba,kuoa,shamba nk.Ila Mimi nikiwa napata milo3'Ya uhakika poa!Naamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake.
Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.
View attachment 3320506
Kila la kheri, ndoto zako zikatimieAfya njema na hela
Ndiyo maana nilikuambia pale mwanzo we focus na malengo yako tu.🤣🤣🤣🤣🤣tuacheni utani ukijiingiza kwa mashangazi unapoteana…nilkuaga na mshangazi mmoja wakingoni yaan mimi kama kisismiz mshangazi tembo uliniharibu kisaikolojia mashangazi wana experience na mibinuano alaf hawana maigizo unapewa hadi kwenu unasahau yule mngoni alikua yupo bara ila anajambia visiwani, nkahama mshangazi unajisafirsha unavuta hoteli anakuimport unajikoji na nguvu za nchi jirani unaibuka🙌🙌🙌
Ujana assalam alyekum
Umekua pig[emoji23][emoji23]Nikifikisha watoto 8....
Asante, nitakaribiaAmen. Ntakualika kwenye harusi
Mimi nikimpata @Mshangazi.dot.com awe wangu nitafurahi sana. Maana ndoto zangu zitakuwa zometimia 100%Naamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake.
Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.
View attachment 3320506
Daah kumbe sisi mashangazi ni ndoto za vijana wengi hivi, sikujua 😆Kupata mshangazi wenye tako kubwa na Wenye pesa