Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Mfumo wa kithenge kabisa huu ,wengine wanaishi kwa tabu wakati huo wengine hawajui watakula nn ..Watu wnapata ulemavu unawadhalilisha ila bado wanataka kuishi ...Ujinga unaanza hapa kwenye kuzaana.Nilijua tu utasema hivyo ukionaš