Nini ukikipata maishani utaridhika na kuona kwamba ndoto zako zimetimia?

Nini ukikipata maishani utaridhika na kuona kwamba ndoto zako zimetimia?

Ndiyo maana nilikuambia pale mwanzo we focus na malengo yako tu.

Hata mimi nikiamua kukapata kakijana kwanza kama kana kazi nataka kaache, kazi iwe ni moja tu. Nikikupigia simu, fasta umefika, hakuna mambo mengi ni mizagamuano tu 😂 😂 😆 nakuhudumia mahitaji yako na unatii, basi!

Sisi mashangazi si safi sana kwa vijana wenye ndoto, tunakutoa kwenye reli, na wengi huwa mnanogewa na mnakua kama mazuzu mbele ya 🍑🍑🍑 😂 😆
Am focus 🧘‍♂️
 
Am focus 🧘‍♂️
Focus tu.

Nilishakua na kakijana ka kutoka unguja kazuri hako, keusi. Ghafla kakataka kuacha chuo kuja mkoa niliokua naishi, kama mzazi nikasema hapana, nikakaacha na kukablock.

Kalikua kama kanataka kurukwa na akili hivi 😆 😆 😆.
 
Kwa lishangazi niliexperince n mmoja ila
Focus tu.

Nilishakua na kakijana ka kutoka unguja kazuri hako, keusi. Ghafla kakataka kuacha chuo kuja mkoa niliokua naishi, kama mzazi nikasema hapana, nikakaacha na kukablock.

Kalikua kama kanataka kurukwa na akili hivi 😆 😆 😆
Ulimsaidia sana maana kujitoa huko mwenyewe kunahitaji nguvu ya ziada.

Kwa lishangazi niliexperience upendo asee nikasema unasikiaga kalogwa kumbe ni mambo tu na utulivu anaopata mtu nikawa naona rika langu mzozo nimedate nae miaka 3 na point nikajitoa kwa mbinde sana imebakigi hi hi tu….ila wanawake wa kingoni wanapenda asee😊
 
Hakuna kabisa. Kwenye moyo wangu Kuna mnyoo Kila siku anazidi kukua, anavyozidi kukua ndivyo ninavyotamani kuwa na zaidi, mnyoo ataacha kukua pale unapofukiwa, naamini Kuna watu pia wapo kama Mimi.
 
Chakula, mavazi, malazi, afya bora, mpenzi.
Hapo nimemalizaaa, yaan kwisha kabisa. Lol
 
Back
Top Bottom