Am focus 🧘♂️Ndiyo maana nilikuambia pale mwanzo we focus na malengo yako tu.
Hata mimi nikiamua kukapata kakijana kwanza kama kana kazi nataka kaache, kazi iwe ni moja tu. Nikikupigia simu, fasta umefika, hakuna mambo mengi ni mizagamuano tu 😂 😂 😆 nakuhudumia mahitaji yako na unatii, basi!
Sisi mashangazi si safi sana kwa vijana wenye ndoto, tunakutoa kwenye reli, na wengi huwa mnanogewa na mnakua kama mazuzu mbele ya 🍑🍑🍑 😂 😆
Focus tu.Am focus 🧘♂️
Nina wasiwasi kama hili litatimia kwa kizazi chetu, ila labda watoto wa watoto wetu watapata kuyaona haya.SikuTanzania ikiwa na kambi ya kijeshi usa
Kwa lishangazi niliexperince n mmoja ilaFocus tu.
Nilishakua na kakijana ka kutoka unguja kazuri hako, keusi. Ghafla kakataka kuacha chuo kuja mkoa niliokua naishi, kama mzazi nikasema hapana, nikakaacha na kukablock.
Kalikua kama kanataka kurukwa na akili hivi 😆 😆 😆.
Ulimsaidia sana maana kujitoa huko mwenyewe kunahitaji nguvu ya ziada.Focus tu.
Nilishakua na kakijana ka kutoka unguja kazuri hako, keusi. Ghafla kakataka kuacha chuo kuja mkoa niliokua naishi, kama mzazi nikasema hapana, nikakaacha na kukablock.
Kalikua kama kanataka kurukwa na akili hivi 😆 😆 😆
Ila kukutetea wewe ni ngumu sana🤣Siku nakata roho ( kufa)ndio ndoto zangu zitakua zimetimia.
Kunu kuore masembo wafoi mshiki🤣🤣Ila kukutetea wewe ni ngumu sana🤣
Asante, nimeelewa.Yani huyu hana ndoto ila yeye kila mda anataka kukua iwe kiuchumi na hata nyanja nyingine ila mwisho wa siku nae atakufa tu kama wafavyo wengine tu.
Daah yani ndoto yako iliyobakia ni kunipata mimi?Mimi nikimpata @Mshangazi.dot.com awe wangu nitafurahi sana. Maana ndoto zangu zitakuwa zometimia 100%
🤣🤣🤣🤣Kukeyasesa'Kunu kuore masembo wafoi mshiki🤣🤣
Kapsa maeee😆😆🤣🤣🤣🤣Kukeyasesa'
Kuor'e mbonyi sa mbarembare kapsa🤣🤣🤣🤣Kukeyasesa'
Yani mmekuja kuongeleshana kilugha chenu kwenye nyuzi yangu 😂 😂 😂Kuor'e mbonyi sa mbarembare kapsa