Mfumo wa kithenge kabisa huu ,wengine wanaishi kwa tabu wakati huo wengine hawajui watakula nn ..Watu wnapata ulemavu unawadhalilisha ila bado wanataka kuishi ...Ujinga unaanza hapa kwenye kuzaana.Nilijua tu utasema hivyo ukiona😆
Wandu wa kunu wakeseta sana...Kuor'e mbonyi sa mbarembare kapsa
Ko kii mono amaa?Labda likukundi🤣
Kafanyaje tena?Yesu
Huyo ni miongoni mwa wasabato masalia walokesha uwanja wa ndege wakitarajia kusafiri pasi na kuwa na hati ya kusafiria wala kibali chochote wakitegemea miujiza 😂Kafanyaje tena?
Ukimpata Yesu umepata YoteKafanyaje tena?
Hapana kabisaLabda likukundi🤣
Huo ni uongoUlimpata Yesu umepata Yote
ThibitishaHuo ni uongo
Yote kama yapi? Taja bila kupanicUkimpata Yesu umepata Yote
Moja ni kutopanicYote kama yapi? Taja bila kupanic
Usipokua na kitu unakua mtu wa kitaman kila kitu cha mtu lpaka kushawishika kuiba. Kwa wanaoamin Mungu hiyo ni dhambi mkuuDah tofauti na kuvunja sheria za nchi hivi kuna dhambi zaidi ya hizo ?
shida hapo sio kosa. Shida ni descipline na self controll.Hela ndizo zinanifanya nitende dhambi
Haaaa haaa kachonge wakoKupata demu asieomba hela.
Vile nimecheka 😂 😆 !Haaaa haaa kachonge wako