Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

Kwani Toyota Premio ,ukiagiza hadi kufika mkononi mwako unatakiwa uwe na budget ya kiasi ganii kwa sasa?
 
Similiki gari lakini nayafuatilia kiasi flani. Napendezwa na premio kuliko ist.

Ist ni nyingi mno unaweza kuwasha ist ya watu ukidhani ni yako. Pia hata comfortability ndani, premio is superior.
Hahaha kuwasha ya watu? Mbona ata premio ziko nyingi mkuu
 
Nunua premio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…