Ninunue gari ipi Mazda CX-5, Forester, Mitsubishi outlander,xtrail new moder

Cx 5 hutajutia, ingawa kuna vitu vya kubadilisha mwanzoni then you are done
 
Uko sahihi kabisa.
Wengi ni wachangamsha genge tu.

Ila hilo lisikusumbue sana maana hizi mada wanazoanzisha huwa ni msaada mkubwa kwa wale wahitaji wa kweli wa kuuza/kununua magari
Pia mada hizi huwa ni darasa zuri sana kwa wengi kuweza kufahamu uzuri au ubaya wa magari mbalimbali.
 
Mkuu, nimekusoma.

Kuhusu Kimomwe kusema gari chini ya 8 years achana nae.

Kuhusu izo gari, ulizoweka toa Passo. Hafu iyo Ractis sio bei kitoto lakini. Ila Runx/Allex unyama sana. Unaweza ongeza na Mazda Verisa hapo.
ractis nyingi zina changamoto ya gear box
 
Kama vitu vipi vyakubadilisha mwanzoni
Okay kwanza inategemea unachukua gari ya generation ya ngapi. Kama ni 1st gen (2012-2016) basi vya kubadilisha ni ile coolant bybass pamoja na kufanya dpf deletion na kama unachukua ya 2nd Gen (2017 todate) basi make sure unaangalia vehicle report au inspection report mara nyingi zinaonyesha matatizo ya gari, be warned with report plz
 
Mkuu utanunua gari ya pesa yote hiyo alafu ukapeleke mtaani kuitengeneza ? Utakuwa unaipenda kweli hiyo gari...

Kizuri ni gharama
Najua kizuri ni gharama, nimetumia neno garage za kupiga nyundo umetafsiri vingine, nimemaanisha garage hizi za kawaida au lazima iwe Kwa authorized dealer nikiwa na maana teknolojia yake ipo rafiki kwa garage nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…