Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejifunza kitu kizuri sana.Mazda CX 5 Diesel engine CC 2200 utaenjoy sana kwenye ulaji wake wa mafuta.Hata muonekano wake ni wa kibabe sana.
Sijajua kwenye uimara na upatikanaji wake wa vipuri ukoje.
CX5 bila kumumunya maneno...Wakuu naleta kwenu wataalamu wa magari ninunue gari ipi Kati ya hizo hapo au nje ya hizo gari nilizotaja bajeti ya yangu ni 25-27m
Back hoe kule SA, iliyotumika na iko na hali nzuri, inaweza kuwa kiasi gani?Mzee Kigogo kwenye mkataba utaona bora uvute mashine ya Caterpillar tu..magari ni ya kuyatumia yaishe model ikipitwa na wakati unataka kutumia gari mpaka unakuja kufanana nalo sura.
Nenda private usiharibu biasharaBack hoe kule SA, iliyotumika na iko na hali nzuri, inaweza kuwa kiasi gani?
Uko sahihi kabisa.Nimegundua baadhi ya member huwa WANAJAMBISHA wakijifanya wananunua magari kumbe ni wazushi Tu...
Kuna member mmoja kilasiku kazi yake kuulizia magari kumbe ni mzushi Tu hata Jana amewachosha watu na Subaru au outlander..
Wiki iliyopita alikuwa anaulizia gari la budget ya million 4 wakati miezi miwili ya nyuma alikuwa anahitaj discovery 4
ractis nyingi zina changamoto ya gear boxMkuu, nimekusoma.
Kuhusu Kimomwe kusema gari chini ya 8 years achana nae.
Kuhusu izo gari, ulizoweka toa Passo. Hafu iyo Ractis sio bei kitoto lakini. Ila Runx/Allex unyama sana. Unaweza ongeza na Mazda Verisa hapo.
Kama vitu vipi vyakubadilisha mwanzoniCx 5 hutajutia, ingawa kuna vitu vya kubadilisha mwanzoni then you are done
Okay kwanza inategemea unachukua gari ya generation ya ngapi. Kama ni 1st gen (2012-2016) basi vya kubadilisha ni ile coolant bybass pamoja na kufanya dpf deletion na kama unachukua ya 2nd Gen (2017 todate) basi make sure unaangalia vehicle report au inspection report mara nyingi zinaonyesha matatizo ya gari, be warned with report plzKama vitu vipi vyakubadilisha mwanzoni
Watasema ukate DPFKama vitu vipi vyakubadilisha mwanzoni
Wazee wa kuchaji siku, gari, saa, earphones,..Mkuu,kuna outlander PHEV , mm naikubali sana
Unatakakiwa ufanye ruti ndefu atleast mara 1 kwa week mbili. Kama unakaa Dar, atleast kwa week 2 mara moja piga hadi Bagamoyo. Regeneration ifanyike.Nimejifunza kitu kizuri sana.
Hii mazda cx5 inatembea 100km kwa 5.7 to 8lt tu wastani wa 16km/L
Ninataka nini zaidi?
Kitchen partyChukua Mitsubishi RVR ya kuanzia 2010 na kuendelea. Hakika hutojutia
Achukue yenye km chini ya 70,000 ama kama fedha haotoshi basi yenye angalau kuanzia km 102,000 hadi 110,000Kama 4wheel yake ni ile unaweka mwenyewe ukitaka, nunua ya 4wheel ila kama ni ile ya 4wheel muda wote, nafikiri 2wheel itakuwa nzuri. KMS chukua chini ya laki moja.
Kwa hizi gari achukue zenye chini ya km 50,000Acha kukariri nunua VW Au BMW au Volvo, hautajuta kabisa, hakuna matengenezo ya mara kwa mara na njiani zipo stable sana
Mkuu utanunua gari ya pesa yote hiyo alafu ukapeleke mtaani kuitengeneza ? Utakuwa unaipenda kweli hiyo gari...Garage zetu za kupiga nyundo vipi, wanaimudu au tupeleke kwa authorized dealers wa Mazda?
Najua kizuri ni gharama, nimetumia neno garage za kupiga nyundo umetafsiri vingine, nimemaanisha garage hizi za kawaida au lazima iwe Kwa authorized dealer nikiwa na maana teknolojia yake ipo rafiki kwa garage nyingiMkuu utanunua gari ya pesa yote hiyo alafu ukapeleke mtaani kuitengeneza ? Utakuwa unaipenda kweli hiyo gari...
Kizuri ni gharama
Labda ya 2022+Kwa hizi gari achukue zenye chini ya km 50,000