Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Wanaume wa kikurya wakorofi sana watani zangu hawa.Ndio Sasa ka huyo daktari ukute wanawake walikuwa Wana mshobokea wanaume wakikurya wakaona wivu solution ikawa kumuua kikatili
Mdogo wangu Kokulila akaona isiwe tabu akakimbia. Mwanaume ana pesa lakini mkono mwepesi. Akaona atakuja kuniua huyu mbwa akarudi nyumbani.