Ninyi wakurya wa Nyamongo kwa nini mnaua Daktari kijana kama huyu?

Ninyi wakurya wa Nyamongo kwa nini mnaua Daktari kijana kama huyu?

Tatizo wengi wao wanakua na sura za baba zao ha ha ha
Ndio nakwambia ukikutana na chotara hutosema hivyo, Nusu Mmanga Nusu Mkurya au Nusu Mnyaturu Nusu Mkurya tena hawa ndio balaa nilisoma na mmoja alikua ni black fulani wa kung'aa hivi alafu ana bonge la tako alipofika mwaka wa mwisho alipigwa mimba sasa hivi ana watoto wawili alafu kashaolewa,
 
Wanaume wa kikurya wakorofi sana watani zangu hawa.
Mdogo wangu Kokulila akaona isiwe tabu akakimbia. Mwanaume ana pesa lakini mkono mwepesi. Akaona atakuja kuniua huyu mbwa akarudi nyumbani.
Nilikuwa na baby mkurya aisee ana hasira jambo dogo anaanza kuunguruma kama Simba na hivi wamelelewa kuona mwanamke si kitu ilikuwa hatari aisee I have to let go huyo kukuua ni dakika sifuri
 
Ndio nakwambia ukikutana na chotara hutosema hivyo, Nusu Mmanga Nusu Mkurya au Nusu Mnyaturu Nusu Mkurya tena hawa ndio balaa nilisoma na mmoja alikua ni black fulani wa kung'aa hivi alafu ana bonge la tako alipofika mwaka wa mwisho alipigwa mimba sasa hivi ana watoto wawili alafu kashaolewa,
Unanichanganya na huo uchotara unaoupigia chapuo

Km vp tupia tupicha walau tumoja twa hao tuchotara unaowazungumzia ili kuongezea uzito wa hayo unayotueleza
 
Ni ukatili ukatili, imani hawana hata kidogo,,, Alshabab mko wapi muwashikishe adabu hawa viumbe!!
 
Nyege haina adabu hasa ukiiendekeza
Ni ujinga tu,kwa mtu anayejitambua hawezi fanya ujinga huo!!haya umefanya ujinga huo ukakamatwa unafia jela huo ni ujanja ua ujinga?huyo uliyemuacha uraiani si ataliwa tu na wengine?ujinga huo mala nyingi hufanywa na wapumbavu na bahati nzuri ktk dunia hii wapo wachache tu.
 
Mara nyingi kitu kinachoweza kusabahisha mauaji
Dhuruma za pesa au mali lakini kingine mke au mume wa mtu

Hapa kutoka salama kazi sana
Watumishi sehemu na wafanya biashara wanajikuta vidume sana kwa wake za watu
 
Tatizo sahivi unafikiria kwa kutumia kichwa cha juu. Aisee hiki cha chini hakijali. Unakaa mwaka kule unakuta hamna demu zaidi ya hao hao tu
Mtakufa sana kwenye wake za watu wndelezen kichwa cha chini
 
Nilikuwa na baby mkurya aisee ana hasira jambo dogo anaanza kuunguruma kama Simba na hivi wamelelewa kuona mwanamke si kitu ilikuwa hatari aisee I have to let go huyo kukuua ni dakika sifuri
Na ungekaa kizembe angekuja kukuua huyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nimeamini leo kuwa watanzania kuwa wewe wape picha tu, story watatunga wenyewe. Halafu wanafikiria sana ngono na mapenzi kichwani mwao kuliko maendeleo, aisee. Chakusikitisha na ukabila haujaisha, yaani hadi leo, duh. Mleta mada kakimbilia kulaumu kabila huku wachangiaji wakakomaa kuwa ni issue ya mapenzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hii nchi mtu unaweza kufungwa au kuuawa kwasababu ya nadharia za watu kujijengea kichwani, duh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi kitu kinachoweza kusabahisha mauaji
Dhuruma za pesa au mali lakini kingine mke au mume wa mtu

Hapa kutoka salama kazi sana
Watumishi sehemu na wafanya biashara wanajikuta vidume sana kwa wake za watu
Kama wake zao wanajipendekeza wenyewe acha wapigwe tu

Waume zao wana hasira hasira za kuua hawajui ku care,acha wageni wawatafune
 
Back
Top Bottom