Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Why tunashambuliwa. Ila nimeamini humu watu hutoa story za vijiweni na kujifanya wanajua hiko kitu haswa. Tena ni walewale kila uzi 🤣🤣🤣🤣 Kama huu uzi unasoma, unabaki unacheka tu.Hahaha.
Ishu ya dokta ni vibaka walimvamia wakampora pikipiki.
Ila mtani wakurya watata sana.
Mdogo wangu aliolewa na mura ndoa ikamshinda. Yule bwana alikua ana vipigo. Akaona atakufa bure.
Ila wanawake hawana shida, sema tu hawako romantic wengi wao 😛 ila sio wewe pisi ya ukweli 😋
Nimekumiss mtani, tunapishana sana. Usituchukie watani zako. Tuko Romatic sana basi tushapewa sifa mbaya zote. Ila wanaojua wanajua tulivyo.