Ninyi wakurya wa Nyamongo kwa nini mnaua Daktari kijana kama huyu?

Wanaume wa kikurya wakorofi sana watani zangu hawa.
Mdogo wangu Kokulila akaona isiwe tabu akakimbia. Mwanaume ana pesa lakini mkono mwepesi. Akaona atakuja kuniua huyu mbwa akarudi nyumbani.
Nitakughecha wewe, hivi mtani ndiyo ukatuchukia kimoja. Wakurya mwezi wetu haswa wa Nyamongo, haki hakuna rangi tutaacha kuona.

Watu wanajiongelea hapa hawawajui Wakurya, wanasikia story za vijiweni wanakuja kutapika hapa.
Kuna rafiki yangu mkaka Msukuma kijana tu, ni Hakimu kule hawajamuua tena kameoa mwaka jana mwishoni.
Mtu wanaambiwa Dr kaibiwa na pikipiki, pia Nyamongo kuna kila kabila sababu ya mgodi. Uchunguzi wamesema ni Mkurya ndiyo kaua?
 
Wake za watu
Pia mabinti za watu ambao wapo chini ya wazazi tarime ukigusa umekufa
 
Nitakughecha wewe, hivi mtani ndiyo ukatuchukia kimoja. Wakurya mwezi wetu haswa wa Nyamongo, haki hakuna rangi tutaacha kuona.

Watu wanajiongelea hapa hawawajui Wakurya, wanasikia story za vijiweni wanakuja kutapika hapa.
Kuna rafiki yangu mkaka Msukuma kijana tu, ni Hakimu kule hawajamuua tena kameoa mwaka jana mwishoni.
Mtu wanaambiwa Dr kaibiwa na pikipiki, pia Nyamongo kuna kila kabila sababu ya mgodi. Uchunguzi wamesema ni Mkurya ndiyo kaua?
Hahaha.
Ishu ya dokta ni vibaka walimvamia wakampora pikipiki.
Ila mtani wakurya watata sana.
Mdogo wangu aliolewa na mura ndoa ikamshinda. Yule bwana alikua ana vipigo. Akaona atakufa bure.
Ila wanawake hawana shida, sema tu hawako romantic wengi wao 😛 ila sio wewe pisi ya ukweli 😋
 
Back
Top Bottom