Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Kuna ambao ni wazuri we acha. Mfano unawaonaje Ester Matiko na Ester Bulaya?Wanawake wa kikurya nawaonaga ngoma ngumu sana
Na huwa nashangaa zaid ninaposikia habar za mgen kuchukua wake za watu huko ukurian