25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Huyo ni mkuriya tayali banghe zilisha panda kichwani kama ukonae karibu pangaMbona umeng'aka sana wewe Muuza kalanga? Au nawewe ni mura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mkuriya tayali banghe zilisha panda kichwani kama ukonae karibu pangaMbona umeng'aka sana wewe Muuza kalanga? Au nawewe ni mura
Vijana wa makabila yote tz hawana wivu kwa kahaba anae jiuza tabia hiyo wanayo wakuriya tu,makabila mengi yamezeoa kumchukua kahaba siku 1 wabalizana akimuitaji tena anajipanga kama kwenda dukani vileUjue kila jamii ina swaga zake ktk lile zoez pendwa
Dah kuna rafiki yangu ameoa mjita,anatamani akimbie nyumbaMara alfu 10 uoe mkulwa kuliko malaya mashetani wajita. Hao umalaya na kugawa mbususu ndio salamu yao
Hiyo ndio kazi yao katika mambazi sugu tz wakuriya wanachukua 1Jinsi nilivyosikia ni kwamba alikuwa anaenda kazini usiku mida ya Saa 8 ambapo huenda kulikuwa na dharura hadi akaondoka kuelekea hospital muda huo.
Akawasha Bodaboda yake ili aende, akiwa njiani akatekwa na kupigwa mapanga, Bodaboda ikaporwa na ndio ikawa mwisho wake.
Wewe kila mtu classmate wako dah alafu ni wafu tu,umetishaR.I.P classmate
Wakuriya wengi ni weusi wanawake hawana umbo tadhani madume mrembo 1 kwa mia wapoNdio nakwambia ukikutana na chotara hutosema hivyo, Nusu Mmanga Nusu Mkurya au Nusu Mnyaturu Nusu Mkurya tena hawa ndio balaa nilisoma na mmoja alikua ni black fulani wa kung'aa hivi alafu ana bonge la tako alipofika mwaka wa mwisho alipigwa mimba sasa hivi ana watoto wawili alafu kashaolewa,
Huyu dada wa kwanza kakasirika sana, inaonesha lazima atalipa kisasiMkuu huu ndo ukweli halisi ambao wengi hawaujui.
Na mimi nimepata fursa ya kufatilia hii habari kwa kina kutoka kwa source ya ndani kabisa. Kama ulivyosema ni busara zaidi kutozungumza mambo mengine ni Personal.
Tangulia ndugu yetu, tutaonana badae.
Mwanamke aliyekuwa na Marehemu kwenye pikipiki anaweza kutoa ushahidi wa kusaidia maana aliwaona mbali ya kwamba na yeye alipelekwa vichakani. Hawa ni Wahuni maana siku hiyo walijeruhi zaidi ya watu 5.R.I.P classmate
Ndiyo kitu pekee kwa wanaojiona ni wanaume kuliko wenzaoAnayekula mke wa mtu/mume wa mtu kifo cha aibu hakikwepeki kwake.
Mke wa mtu/mme wa mtu ni sumu.
Kule Mkuranga kuna mfanyabiashara amepindishwa na wanaume wanne sababu ya mke wa mtu.
Basi acha vya kusikia tu, wapo ambao ni Wakurya halisi bila kuchanganya. Ishu ilikiwa mauaji, mnapelekea kutukana kabila la watu si sawa. Ni Bibi, Mama, Mashangazi, Dada zetu, ni mimi.Kuna mmoja wetu humu katoa ushuhuda lkn anasisitiza lazima awe chotara
Ww ni mkurya???Basi acha vya kusikia tu, wapo ambao ni Wakurya halisi bila kuchanganya. Ishu ilikiwa mauaji, mnapelekea kutukana kabila la watu si sawa. Ni Bibi, Mama, Mashangazi, Dada zetu, ni mimi.
Ulivyocomment wewe, kama ingekuwa nimimi nalisema kabila lako wanawake zenu. Sijui kama ungejisikia vizuri. Muwe mnajaribu kustick na mada. Acheni matusi ya rejareja kwa kabila lingine. Mkija kuambiwa waliouwa na kuiba ni wahamiaji? Mtaweza kufuta hayo matusi yenu? Tuheshimu wengine.
Ndiyo na bahati yako, uko nyuma ya keyboard tungekughecha wewe. Ukabaki na alama kila uendako.Ww ni mkurya???
Kisa? Mnaweza kutatua matatizo katika jamii bila kuuana na kuua binadamu wenzioNdiyo na bahati yako, uko nyuma ya keyboard tungekughecha wewe. Ukabaki na alama kila uendako.
Wapumbavu wakubwa hawa wauaji..Kwao wababe wakija dar wanauza mayai