Ninyi wakurya wa Nyamongo kwa nini mnaua Daktari kijana kama huyu?

Ninyi wakurya wa Nyamongo kwa nini mnaua Daktari kijana kama huyu?

Ujue kila jamii ina swaga zake ktk lile zoez pendwa
Vijana wa makabila yote tz hawana wivu kwa kahaba anae jiuza tabia hiyo wanayo wakuriya tu,makabila mengi yamezeoa kumchukua kahaba siku 1 wabalizana akimuitaji tena anajipanga kama kwenda dukani vile

Wakuriya ni kinyume chake akimchukua kahaba siku 1 anataka awe wake hata kama hatunzi akimuona na mtu kosa panga au jiwe kichwani titizo la wakuriya ni washamba
 
Jinsi nilivyosikia ni kwamba alikuwa anaenda kazini usiku mida ya Saa 8 ambapo huenda kulikuwa na dharura hadi akaondoka kuelekea hospital muda huo.

Akawasha Bodaboda yake ili aende, akiwa njiani akatekwa na kupigwa mapanga, Bodaboda ikaporwa na ndio ikawa mwisho wake.
Hiyo ndio kazi yao katika mambazi sugu tz wakuriya wanachukua 1
 
Ndio nakwambia ukikutana na chotara hutosema hivyo, Nusu Mmanga Nusu Mkurya au Nusu Mnyaturu Nusu Mkurya tena hawa ndio balaa nilisoma na mmoja alikua ni black fulani wa kung'aa hivi alafu ana bonge la tako alipofika mwaka wa mwisho alipigwa mimba sasa hivi ana watoto wawili alafu kashaolewa,
Wakuriya wengi ni weusi wanawake hawana umbo tadhani madume mrembo 1 kwa mia wapo
 
Mkuu huu ndo ukweli halisi ambao wengi hawaujui.

Na mimi nimepata fursa ya kufatilia hii habari kwa kina kutoka kwa source ya ndani kabisa. Kama ulivyosema ni busara zaidi kutozungumza mambo mengine ni Personal.

Tangulia ndugu yetu, tutaonana badae.
Huyu dada wa kwanza kakasirika sana, inaonesha lazima atalipa kisasi
 
Kuna mmoja wetu humu katoa ushuhuda lkn anasisitiza lazima awe chotara
Basi acha vya kusikia tu, wapo ambao ni Wakurya halisi bila kuchanganya. Ishu ilikiwa mauaji, mnapelekea kutukana kabila la watu si sawa. Ni Bibi, Mama, Mashangazi, Dada zetu, ni mimi.

Ulivyocomment wewe, kama ingekuwa nimimi nalisema kabila lako wanawake zenu. Sijui kama ungejisikia vizuri. Muwe mnajaribu kustick na mada. Acheni matusi ya rejareja kwa kabila lingine. Mkija kuambiwa waliouwa na kuiba ni wahamiaji? Mtaweza kufuta hayo matusi yenu? Tuheshimu wengine.
 
Ww ni mkurya???
 
Hakuna tukio liliniuma huko TARIME kama Wakurya kumuua huyu Mwalimu asiyekuwa na hatia yoyote

Tena kwa kumchoma Mkuki shingoni

Sasa nani atakayehitaji kwenda kufanya kazi huko?
Screenshot_20230507-084945.jpg
 
Mara mia Mkurya kuliko Mjita maana Wajita wanagawa sana mbususu cheaply
 
Back
Top Bottom