Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Kwa nin tufikie kwenye kughechana ilhali inawezekana tukakaa chin na kunifahamisha kuhusu ukurya na wakuryaNdiyo na bahati yako, uko nyuma ya keyboard tungekughecha wewe. Ukabaki na alama kila uendako.
Angalau wewe unaweza sema. Sijui wale panya road tena vitoto vidogo navyo ni vikurya, wanaume wa dar wana wivu hadi kwa wanaume wenzaoMwanamke aliyekuwa na Marehemu kwenye pikipiki anaweza kutoa ushahidi wa kusaidia maana aliwaona mbali ya kwamba na yeye alipelekwa vichakani. Hawa ni Wahuni maana siku hiyo walijeruhi zaidi ya watu 5.
Nawewe kwanini ulitutukana? Hukujua kuna njia ya kujua ukweli kwanza kabla ya kudhalilisha Mama na dada za watu wengine? Mnaanza nyinyi, tukijibu mashambulizi Wakurya wabaya. Tujaribu kuheshimu kila mtu.Kwa nin tufikie kwenye kughechana ilhali inawezekana tukakaa chin na kunifahamisha kuhusu ukurya na wakurya
Unaonaje tukilifanyia kaz hilo wazo
Huku Mademu ndo tatizo. Ukifika Cha Kwanza ni hilo kuambiwa! So ukitaka kuepuka Majanga kaa mbali na MademuIt is very painful
Daktari Kituo cha Afya Nyangoto auawa kikatili
Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Nyang’oto kilichopo Kata ya Nyamongo, Tarime Vijijini, Dk Isack Sima ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana wakati akitoka kituo chake cha kazi...www.mwananchi.co.tz
Na ndio maana nataka tukutane ili tuwekane sawaNawewe kwanini ulitutukana? Hukujua kuna njia ya kujua ukweli kwanza kabla ya kudhalilisha Mama na dada za watu wengine? Mnaanza nyinyi, tukijibu mashambulizi Wakurya wabaya. Tujaribu kuheshimu kila mtu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwao wababe wakija dar wanauza mayai
Kwa hiyo ukae bila kugegedaHuku Mademu ndo tatizo. Ukifika Cha Kwanza ni hilo kuambiwa! So ukitaka kuepuka Majanga kaa mbali na Mademu
Nina ndugu yangu mpaka Leo ana alama ya memo ya aliyekuwa mke wake ambaye ni mkuryaHata wanawake zao bila ngumi atakutia kidole machoni, wanawezana wao kwa wao kama wewe sio mwanajeshi utachemka.
Both Wana maspirit ya ukorofi na ugomvi
Ndugu yangu uongo ama hearsay vinaweza kuifanya nia yako njema ya kuuhabarisha umma igeuke chuki.
Huyu daktari alikuwa anaishi kituo cha kazi na muda wa tukio ni kati ya saa 4_5 usiku (sio saa nane kama ulivyoandika na eneo la tukio ni zaidi ya 2km kutoka kituo cha kazi). Dk alikuwa ameshamaliza majukumu yake ya kikazi
Huyo namtania hapa. Soma comments zake alidhalilisha wanawake wa Kikurya. Badala ya kuongelea mauaji.Kisa? Mnaweza kutatua matatizo katika jamii bila kuuana na kuua binadamu wenzio
Pimbi wewe ulishuhudia kwa macho yako wakati akikatwa na kupigwaMimi ni miongoni mwa walioshuhudia tukio na hata kuaga mwili mkuu. Hata ukitaka proof ya picha za maeneo ya tukio utapata. Nina uhakika 100% na hiki nilichoandika
Hata kama kuna kitu,kwa nini umuuwe mwenzako.Kusameheana ni bora kuliko,kufanyiana mambo mabaya.Huyu daktari amesaidia wangapi,na pia kumbuka wapo wanaomtegemea kimaisha.Sio bure kuna kitu
Kanuni ni hii kwa mtazamo wangu...usizoeane na mwanamke yoyote mpaka ukapitiliza coz mwisho wake anageuka kuwa mzuri kwako na utaona anafaa kwa matumizi japo sio lazima ...ni general ideaWanawake wa kikurya nawaonaga ngoma ngumu sana
Na huwa nashangaa zaid ninaposikia habar za mgen kuchukua wake za watu huko ukurian
Mfumo wao wa malezi sio mzuri watoto wanalelewa kwenye mfumo wa vurugu, matumizi mengi ya nguvu kuliko akili so wanakua wakiamini changamoto utatuliwa kwa kutumia nguvu na sio akili thus hata ukimshinda mwaka huu iwe kwa hoja au kipigo anatunza kisasi ni lazima atakuvizia kesho akutoe damu Ili hasira zake ziishe.Mkuriya kuua kwake ni ushujaa
Import!Kwa hiyo ukae bila kugegeda
SahihKanuni ni hii kwa mtazamo wangu...usizoeane na mwanamke yoyote mpaka ukapitiliza coz mwisho wake anageika kuwa mzuri kwako na utaoba anafaa kwa matumizi japo sio lazima ...ni general idea
Akili hio unayo wewe,kuua mtu ni upumbavu kwani nawe utadumu milele?Hata kama kuna kitu,kwa nini umuuwe mwenzako.Kusameheana ni bora kuliko,kufanyiana mambo mabaya.Huyu daktari amesaidia wangapi,na pia kumbuka wapo wanaomtegemea kimaisha.
Kwa mim ambaye nimetoka morogoro nipo tarime kikaz nalazimika kuagiza toka Moro ambako ndio mwenyej au labda niingie mtandaonImport!
Kama sio mafia achana nao KWA faida ya afya ya amani ya moyo wako.Nina ndugu yangu mpaka Leo ana alama ya memo ya aliyekuwa mke wake ambaye ni mkurya