Nenda na uingie maeneo ya Kambi yaJeshi au kituo Cha polisi utaopoa pisi Kali mwenyewe hutaamini mkuu na utakuja kunishukuru.Wakuu wa MMU habari za sasa,
Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi.
Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao.
Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu na wanafunzi.
Mfano hadi sasa sina hata demu.
Mnisaidie mwenzenu upweke unanitesa.
Umri wangu ni 26.
sanaaa,haya maisha bila kuwa na tulizo la moyo mambo hayaendi,kuamka kienyeji enyeji bila kuamshwa binafsi naonaga mateso tupuKumbe mnajua kuwa sisi tuna nafasi kubwa kwenye maisha yenu eee,.π€
ohoo,inatupata sana,,ni tunakazaga kichwa tu ukimuona mwanamke yupo hapo unahisi umuhitaji,ngoja aindoke sasa,mimi joto linaniendea vibaya hapa nina kama week 3 sijahisi njaa kisa nimeachwa[emoji28] nakula mara moja tu kwa siku
Hayo macho unayo tangu lini?Huwezi kuona wewe mpk upewe macho ya kiroho!
ahsanteπ lakini kumbuka wanasema sio kila chaka ni la kujisaidia mengine yana nyoka,Naomba kucheka mkuu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]pole sana mkuu
Si ndio life tuu hili
Ila mpunguze viburi ona sasa utakufa njaa
Anyway wanawake tuko wengi nakuombea upate chaka lingne lisilo na upupu[emoji38][emoji38]
ahsante[emoji23] lakini kumbuka wanasema sio kila chaka ni la kujisaidia mengine yana nyoka,
nchi ngumu hii ukipigwa na kitu kizito kichwani
kabisaπ ,nahisi nitachizi kabisa aisee,kuna siku nimeongea mwenyeweTake a break kwanza mkuu
Ukipenda tena kichwa kichwa moyo utafanywa kama ile nyama ya kutengenezea shawarma[emoji38][emoji38]
kabisa[emoji28],nahisi nitachizi kabisa aisee,kuna siku nimeongea mwenyewe
ndio mana nimeelewa mleta mada anapitia nini
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji28]Ukitembea hakikisha unaning'iniza kumi kumi mwanangu uone utakavyokuwa unawakimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka nimezaliwa!.Hayo macho unayo tangu lini?
Mwanamke anayetongozwa kila siku hawezi jua maudhi ya upweke, na hasa upweke wa mwanaume kwenye hiki kizazi cha NO MONEY NO LOVE..!!Huna kazi ya kufanya nyingine zaidi ya hiyo..!?
Madam samahani...Kumbe na nyie hiyo hali inawapataga
Kwanini sasa mnakuaga na viburi na kusema kirahisi nimempiga chin
Kumbe joto la jiwe linakuaga kali kiasi hiko[emoji38][emoji38][emoji38]
Nahis ni mimi mkuuMadam samahani...
Hiyo Avatar ni wewe?!
πππ
#YNWA