Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #161
Weeeeh, mtandao usituletee utani, tunayasubiri mambo yako kwa hamu 🤣kila nikitaka ku reply essy yangu mtandao una stuck😭😭 sijui shida nini,,, au nimeandika mambo mazito mpka mods wanaona haya jamii isijue ufuksa wangu😆😆😆😆
Ufuksa au ufuska 🤣🤣🤣.. usiogope mods ...hawana nomakila nikitaka ku reply essy yangu mtandao una stuck😭😭 sijui shida nini,,, au nimeandika mambo mazito mpka mods wanaona haya jamii isijue ufuksa wangu😆😆😆😆
Huko mbali hivyo karibu hapa hapaNaomba nije DM madam,
Ni pesa tu mkuuPesa
Una msikiliza huyu 😅😅Uombaji wako umenyooka!
Msiende PM, malizaneni hapahapa na wengine wajifunze.
PoleNi pesa tu mkuu
Kuna sehemu kule ukitoka dom kidogo kunaitwa kondoa asee umaskini wa pale unaweza kuushika na mikono miwili
Au anataka akushushie mistari na wewe upate fursa ya kujaribu kakijana kadogo kadogo 😂Huko mbali hivyo karibu hapa hapa
Vijana Wana visirani hawa.... Asije kunitangaza jf nikabadili na idAu anataka akushushie mistari na wewe upate fursa ya kujaribu kakijana kadogo kadogo 😂
Kumbe tupo wengi tunaopenda nyama ya mbuzi 🔥 😋Acha nijibu hii paper
1. Hakuna utamu kama ugali na nyama choma ya mbuzi
Mmmh kwanini sasa unawaficha wanaokuzunguka?2. Watu wanajua situmii kilevi ila deep down nakunywa 🍻
Pole3. Kushuhudia maiti ya mtu ikifukiwa porini (when I was still little boy)☠️☠️💀
Over 10 years younger? if so, ilikuwaje?4. Sijawahi kuwa kwenye mahusiano na above of my age ila under age yes I did.
Kazana kutafuta, kuanzia miaka 35 na kuendelea, sperm zenu zinapungua quality.5. Sina mtoto maana mama wa mtoto sijlampata🤣🤣.
Mama Ne.......6. Unaitwa mama nani eti?😎
Tunaenda lini? Sponyo wewe ama nani?
Ujichanganye na picha umtumie, siku mkikorofishana aje kuzimwaga humu 😂Vijana Wana visirani hawa.... Asije kunitangaza jf nikabadili na id
Nipe ratiba yako tuTunaenda lini? Sponyo wewe ama nani?
Mi hata sahivi tu sina nomaNipe ratiba yako tu
I knowAkili zipo, humu nachangamsha genge tuu.
Umeshawahi kula mbuzi ya kuchoma na kachumbari yenye pilipili pembeni au ndizi nyama yenye utumbo wa taulo wewe? unaleta masihara kwenye msosi!Nyeto ni tamu kuliko hata chakula.
Haa haa, sawa bossTunavyochukuliana poa Ndo napenda 😂
Nilikwambia itatokea ile siku ya mwisho wa dunia, yani Yesu anashuka sisi huku tunafanya yetu, ni vilio vya raha tu 😂Bado mm tuu kukupelekea moto, na cjui itakuwa lini mana ulinizingua 😂
Mpare, punguza pombe!Kama niliwahi kusema nna mshangazi, bc nisamehewe, nilikuwa Nmelewa.
Nipo PMMi hata sahivi tu sina noma
Pumbavvv zao😆Anaweza akarudi ila itakua baada ya kukuambia "I need some space" halafu apotee kidogo 😂
KheeUgumu wako unapoishia, wangu ndiyo unapoanzia
Shetani hanaga rafiki😁Si ulisema hako ka mchezo umeacha 😂
🤢🤢🤢🤢Mbona kutoa kwenye kipochi manyoya mpaka mdomoni ni mbali sana, mimi kwa kweli sina shida na hilo nitabugia tu biringanya, nipate taste ya huo mchanganyiko wote 🙈🙈
Nakavizia humu we tulia tu😂Hebu kajaribu kamoja uje utusimulie 😂🤣
Kamoja tu, havinaga madhara ni kama joint moja ya kush😁Baada ya mwaka utaanza tena kuombewa uache uraibu 🤣
Hiyo kicheko nimecheka daaah 🤣 , kwanini kupaukiana lakini?Anakudanganya, hana hata mia. Yupo yupo tu kapaukiana🤣🤣
Hapo kwenye kukujulia ndiyo penyewe!
Sawa 🤭 ngoja wenye experience zao waje watujuze.
Mi Kuna slay queen yeye anapenda urembo kupitiliza kanizidi mama ake. Teenager wangu yeye nahisi hata humu yupo staki kumzungumzia ila hajasumbua sana... Kwa vibinti hajamboMimi nina teenagers hao, ni shughuli!
Hawa vijana sihitaji kujaribu kabisaaaa.... Mi napenda wababa wa ambao wako 40s. Hao wa2000 nadhani ni trend tu itapita.Haya tulijadili hilo, nasikia tuvijana twa 2,000 hatuchoki 😂 kanaweza kukupeleka dakika 45 na kasishuke kakaunga round 2.
🎶 Mama neema, neema ulimwacha neema ana siku 8 m, hukutaka kungoja neema wako anyonyeee🎤Mama Ne.......
Mangi, ndiyo huwa unafungiwa dushelele lako humo?