Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

CHAI 🍵 🍵 🍵
Unasema chai wakati USA wamewaambia raia wao waondoke Eastern Congo na CIC wiki hii amekutana na Makanali wa nchi nzima.lazima kuna namna
Mkuu ungetupa maelekezo zaidi tukuombe kwa nani, ikiwa huamini uwepo wa Mungu wala shetani 👇🏻

 
Mwanajeshi sifa kubwa ni kuingia uwanja wa medani,kakamilishe kazi ya kutetea watu kwa vitendo
 
M23 wako 25km ili kuichukua Goma, maisha yako hayawezi kupimwa kwa fedha. Ulitaka uombewe ili nini? Ukaue watu? Au ukauwawe?

I think you already know the answer make your own decisions
Mission za hivi huwa ni siri hawapayukipayuki kama hivi, wewe sio muhusika. Umesikia ukaandika
 
Safari njema Kamanda,kumbuka M23 ni Jeshi toka Rwanda,,
,mkiwatia mkononi wanyosheeni kweli kweli....kwani watoto na kina Mama wanateseka Sana.
 
Kam
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
 
Hongera sana mkuu kwa kuaminiwa hadi kuchaguliwa kwenda mission, uzuri ukikaa huko miezi 3 hela unazopata ni zaidi ya mshahara wa mwaka na nusu ukiwa haujachaguliwa, kikubwa urudi salama panapo majaliwa afande
 
Kuwa makini mkuu kuna sniper kama the jackal mwendo wa kudungua umbali wa km 1 and above[emoji26]
 
Umemaliza mapoti waliopo jf kidogo ni wale wasomi wasomj wenye mafuta mafuta ila kina koplo wako telegram mishangazi group huko hawana habari🤣🤣
Nawajua Sana hao wanangu hawataki mambo ya kuumiza kichwa 🤣🤣🤣
Telegram na facebook ndio zao wanatindua dada zetu tu😀😀🤣
Na leo ni weekend ya mshahara Basi wanaimpot mashangaz tu na mipombe hapo gwanda litakumbukwa jumatatu🤣🤣🤣🤣
 
Urudi salama.Mungu akutangulie. Ila ukiona hali ni mbaya kimbia 😜
Ushauri mbaya huo! Ni kosa kubwa mwanajeshi kukimbia vita kwa namna yoyote! Kiapo cha kijeshi ni kufa vitani au kurudi na ushindi.
Mimi ninamuombea mpiganaji wetu aende salama na arudi salama akiwa na ushindi dhidi ya hao wapumbavu wa m23.
Amina.
 
Ushauri mbaya huo! Ni kosa kubwa mwanajeshi kukimbia vita kwa namna yoyote! Kiapo cha kijeshi ni kufa vitani au kurudi na ushindi.
Mimi ninamuombea mpiganani wetu aenda salama na arudi salama akiwa na ushindi dhidi ya hao wapumbavu wa m23.
Amina.
Sawa
 
Uchaguzi wa TAMISEMI
Haki za Raia
Ulinzi wa Raia....

Ulisimama upande upi?
Jibu ili tujue aina gani ya maombi unayostahili
Unamuuliza maswali ambayo hayamuhusu kabisa ! Kazi ya JWTZ ni kulinda nchi na mipaka yake. Mambo ya usalama wa raia na mali zao ni kazi ya jeshi la polisi.
 
Mim mtoto wa rais sisi tupo zetu huku Dubai tunakula goodtime na watoto wa Tshekied we nenda kapambane
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Mwenyezi Mungu akusimamie katika kila hatua
 
Back
Top Bottom