Nionavyo mimi: Miaka kumi ya Rais Magufuli umasikini utaongezeka sana

Tukiendekea kuikumbatia ccm na umasikini nao utaendelea kutukumbatia tu.
Hamna namna
 
Sijui hao wengine ofisini kwao. Nazungumzia ofisi ninayotoka mimi.
Maofisini watu tangu 2018-2020 mafao ni bila bila na wapo mpk wa 2017 wanadai mpk leo wkt kila kitu walishakamilisha.

Yaani waataafu hua wakimcheki mkuu anasema serikali yake ina mapesa mengi hua wanabadilisha chanel fasta tu.
 
Magu kazingua sana, wanaomtetea hawatembelei uku vijijini, hali ni mbaya sana Mungu asimamie kwa hili aisee, mm shughuli zangu nasafiri sana mikoa mbali mbali nimejionea kwa macho yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona akifanya ziara hasa huko vijijini watu wanajitokeZa kwa wingi na kumshangilia?!
wamezoea hali ya umasikini na kufanya kuwa ni sehemu ya maisha ama hawajui kwamba wako kwenye lindi la umasikini.
 
Maofisini watu tangu 2018-2020 mafao ni bila bila na wapo mpk wa 2017 wanadai mpk leo wkt kila kitu walishakamilisha.

Yaani waataafu hua wakimcheki mkuu anasema serikali yake ina mapesa mengi hua wanabadilisha chanel fasta tu.
Siamini hilo zaidi ya maneno ya mtandaoni. Hakuna mtu anadai toka 2019 Januari kuja juu. Na kama yupo siyo kwasababu za ukosefu wa pesa bali kuna baadhi ya taratibu hazijakaa sawa. Tena hao wako wengi. Ndio maana inashauriwa kuandaa Taifa zako sahihi mapema ili isilete usumbufu mwishoni.
 
Badala ya kutafakari upuuzi, you can spend time thinking different ways and approaches which can take you out from that poverty situation.
 
Wala sihitaji kukuaminisha chochote,ila jua tu kwa kifupi wastaafu wanamkubali sana mkuu yaani amefanya maisha yao yamekua mepesi sana na wanakubali kweli mifuko ya jamii ina mapesa mengi sana kama wanavyojitapa mitandaoni.
 
Basi sawa.
 
Wanawaambia wananchi wavumilie huku wao wanakula maisha kama kawaida.
 
Tathmini na kutoa maksi Siasa na Utawala 2020
Profesa Rwekaza Sympho Mukandala anazungumzia kigezo muhimu cha uongozi, ambacho ni je wananchi wanafuraha?

Prof. Mukandala anasema haitoshi baba wa nyumba kuleta nyama, samaki na chakula kila siku nyumbani lakini familia yake inaishi bila furaha.

Kipimo cha kutengeneza miundombinu lukuki na kulazimisha watu waridhike wakati wananchi hawana furaha kutokana na ukata kuwepo ktk shughuli zao za kujiingizia kipato huku wakiwa hawana furaha kwa kukosa pesa na umasikini unaosababishwa na sera za kiuchumi za serikali kukazania Maendeleo ya Vitu na kusahau kabisa Maendeleo ya Watu.
Source :
25 Nov 2018
African Intellectuals
Hali ya Uchumi na Siasa Nchini Tanzania Miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano: "Tunatoka wapi, Tuko wapi na Tunakwenda wapi"
 
Kina Kitila, Kafulila, Mtatilo, Katambi, yule cha Pombe wa Ukonga na wengineo mliwaandaa nyie? Mamvi mlitukana matusi yote mbona leo mnaye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu hii tuna Rais wa VITU na siyo WATU.
 
Kina Kitila, Kafulila, Mtatilo, Katambi, yule cha Pombe wa Ukonga na wengineo mliwaandaa nyie? Mamvi mlitukana matusi yote mbona leo mnaye?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao sio watu wenye sifa yakuweza kuwa raisi wa nchi. Lakini pia mjue mpk wanaweza kuhamia ccm mlishindwa kuwaanda kisaikolojia ndo maana wakahama. Andaa mtu ambaye hata iweje asilimia za kuhamia ccm n ndogo sana. Sasa watu wenu wakiguswa tu washaropoka yote ya nguoni ili wahamie ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…