Marry Ngowi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 262
- 296
Kupanga ni kuchagua,mega project zina hatari kubwa kwa uchumi wa nchi.Nimekuelewa vizuri sana. Unalalamikia utekelezaji wa hizo unazoita megaprojects. Lakini ni projects ambazo zitaliletea manufaa taifa letu.
Acha ujinga na upuuzi. Reli ya Sgr ikikamilika ni monument? Bwawa la kuzalisha umeme likianza kuzalisha umeme ni monumen?Kupanga ni kuchagua,mega project zina hatari kubwa kwa uchumi wa nchi.
Contractors ni makampuni ya kigeni,yanachukuwa pesa zote makwao tunabakia na ma monuments.
Kwa mwendo huo mzunguko wa fedha unazidi kupungua na niwazi mapato ya serikali nayo yanapungua.Ili kutimiza mega project serikali inabidi kukopa.
Laiti baadhi ya pesa za megaprojects zingetumika kama stimulus package kuwawezesha nguvu kazi miradi midogo midogo ya kilimo, ufugaji na uvuvi kwa sh Trillion 6 kwa kuwakopesha wastani wa kila mradi million 1 tugepata miradi millioni 6.endelevu kila wastani wa miaka mitatu.
Ndio maajabu ya watanzania hayo.Tumeshajua kabisa kuwa ni muongeza umasikini, sasa kwa nini tena tumuongezee miaka mingine mitano?!
Baba wa taifa alituacha mahali pazuri sana ila sisi Wa Tz ni wajinga tu kwani alituacha na assets chungu tele viwanda , mashirika, madini, mbuga za wanyama, ardhi tele,, gas, petroli, watu wa kutosha, fursa chungu mzima, n.k lakini tulishindwa wenyewe kutumia assets na kujiendeleza.Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.
Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa sera zake haziangalii taifa lina hazina kiasi gani na maamuz yake yame elemea zaid kwenye ujenzi wa mager projects jambo ambalo ktk uchumi lina faida za muda mrefu wakati nyuma ukiwaacha watu na umasikini mkubwa na kukosa kaz ktk sector nyingine.
Unapojenga miundo mbinu mikubwa unatengeneza ajira zaid kwa kada fulan kwa wananchi wa sehem fulan. Huwez jenga daraja mwanza ukawafaidisha wana shinyanga lazima ajira zitaenda mwanza zaid kwa mafundi na Eng while wachumi na dk wakiwa hawana ajira au wamechukuliwakidogo.
Sera ya awamo ya Tano itayasinyaisha mabank nakupunguza watu ktk sector hii na sote ni mashahidi vile bank zimefungwa na kuunganishwa while watu wakiachishwakazi ktk kipindi cha kuanzia 2015-2020. Huitaji tochi au mwanga wa juwa kuona Kule tunaelekea na kile kinaenda tokea. Mbaya nikuwa data imekuwa kitu hadim na hili linakuwa msumari wa moto kwenye kidonda.
Wazabun wa serikali wengi wanalipwa mwaka huu tangu mwaka 2015 watu wamedai mpaka wengine umauti umewakuta, hakuna asie juwa ukifanya biashara na serikal unapata faida na pia in create job ila makampuni mengi kwa sasa yameondolew na hayajalipwa pesa zao biashara zimekufa kama uwamini nenda Brela uwauliz Rtn za makampuni mengi kama kwa miaka mitano wameziona? Wengi wamedai mpaka nakampuni wamezifunga.
Biashara ka clearance agency ndio kama imekufa maana serikali imeanzisha chombo , jiulize hizi agency zinaenda wapi? Maelfu Maelfu ajira zimepotea hii sio Afya ni umasikini ktk taifa.
Mifuko ya hifadhi nikweli ilikuwa hoi ila siomifuko yote mfuko kama ppf kabla yakuwa pssf ilikuwa vizuri sana lakini leo unaambiwa wastaafu wanahaha. Kupata mafao yao hivi mtu anafuwatilia mafao yake 2yrs kweli huu niumasikini naukikuwaji wa sheria za kazi. Jambo lakushangaza wanasiasa watalipwa mafao yao haraka wakati mnyonge akihangaikia mafao mpaka anakufa kwa presha.
Ukienda kariakoo utashangaa kuwa Zile biashara tulikuwa kwenye process kuzi rasimisha tupatekodi wengi wamebadilisha mbinu mtu anaona bora aweke mzigo barabarani alipe kitambulisho cha machinga kuliko awe na mlango hili limesababisha kariakoo kuwa soko la wa chuuzi Wala sio soko la kimataifa hii inamanisha nn kwa wachumi? Hii sio ishara nzuri kwa uchumi inamanisha Dalili mbaya kuwa una watu wengi wasiofanya biashara maeneo rasmi. Jambo ni hatari pata picha ya kariakoo 2014 na picha ya 2020.
Idadi ya walio malizachuo na waliopo mtaani inatisha Sina huwakika ikiwa hata theluthi yao wameajiriwa na ukweli ni kwamba hamna ajira tunajenga miundo mbinu hivyo tuna idadi kubwa vijana wasio ajiriwa jambo ni hatari Kule tuendapo.
Mfumo wa Tra ktk sheria ya kodi Tax administration act 2015 from sec 67 and sec68 ni msumari wa moto na kaburi la wafanyabiashara wengi ambao wamejikuta wakiamka masikini. Taifa litakuwa masikini na wananchi watazidi kuwa masikin zaidi kiasi watu watashindwa kununua chupi hasa vijiji, sio kukosa chup ila pia nguo ita kuwa shida why mmebana sana mkasahau pia magendo hupung ukali wa maisha yes taifa hili bado ni changa na yale tunayafanya ktk sera hizi za utawala wa awamo ya Tano kama hatuto angalia vizuri basi hili taifa linarudi pale alipo tuacha Hayati baba wa Taifa.
Kujenga ni jambo mmoja na uendeshaji wa miradi ni jambo lingine.Acha ujinga na upuuzi. Reli ya Sgr ikikamilika ni monument? Bwawa la kuzalisha umeme likianza kuzalisha umeme ni monumen?
Tanzania kuna Mtibwa dam? Nenda kanyonye alafu ukimaliza njoo.Kujenga ni jambo mmoja na uendeshaji wa miradi ni jambo lingine.
Umeishajiuliza kwanini Mradi wa mwendokasi umekuwa karaha licha ya kuwa na barabara imara hakuna basi za kutosha ni mateso mwaka wa nne.
Tulishuhudia ujenzi wa Uhuru Railway yaani TAZARA.kwa zaidi ya miaka 20 hali ikoje jama si hasara kubwa?
SGR machoni nia ni nzuri lakini je umejiandaa vya kutosha kusimamia huo mradi au ni propaganda tu?
Mabwawa ya kufua umeme ya Mtibwa na Kidatu ni mabwawa makubwa lakini usimamizi mbovu na poor maintenance yamepunguza uhakika wa kupata umeme ndio chanzo cha matapeli wa Songas.
Una uhakika gani kama Nyerere dam haitakuwa kuwa white elephant?
Mtera damTanzania kuna Mtibwa dam? Nenda kanyonye alafu ukimaliza njoo.
Acha ujinga wewe, wakulima gani wamelipwa 3300? Au kusema ndio kutekeleza?Kwenye swala la Korosho ni ujinga mkubwa kumlaunu Magufuli na serikali yake.
Kwa sababu wanunuzi wa Korosho walitaka kununua korosho kwa TSH. 2550 kwa kilo wakulima wakakataa kuuza wakisema bei ni ndogo wakaiomba serikali iwasaidie.
Mh Raisi akasema korosho zote zitanunuliwa na serikali kwa bei ya TSH. 3300 kwa kilo wakulima wakakubali.
Sasa hapo Magufuli munamlaumu kwa lipi? Acheni Propaganda
From. Mahuta Chikongola. Tandahimba
Wanajiweka madarakani wenyewe hao. Kwani hujasikia "nikuteue Mimi, nikupe gari Mimi, nikuwekee mafuta mimi, nikulipe mshahara Mimi, halafu umtangaze mpinzani.." Yaani hadi I aibu jinsi MTU anavyojimilikisha nchi kama urithi wa baba yake.Kwani wewe unadhani ni nani huwa anawaingiza madarakani??--- ni yule mkuu wa tume ya uchaguzi kama hujui!!!.
Embu zungumza hata hicho kidogo unacho nione makosa yangu.Dah! Sijasoma uchumu lakini ningeambiwa nizungumzie uchumi wa Tanzania ningelizungumza vizuri zaidi yako.
Ndugu yangu jifunze tu kwamba katika jamii watu hutegemeana kwamaana hata mwenye nacho anamtegemea mnyonge na hii ndo sababu ya mnyonge kujipatia pesa kutoka kwa mwenyenacho.Kipi Bora sasa. Kipind cha kikwete wachache wanachota na mnyonge hafaidi au kipindi hiki ambacho kweli hali sio nzuri sn kwa maana ya pesa mifukoni mea watu lakini maendeleo ya vitu yanakuja
Mimi nachjua miradi inayosemwa inaendeshwa kwa fedha za ndani Ni mikopo kutoka nje tena kutoka kwenye mabenki ya kibiashara yenye riba za kiwendawazimu. Kuchunga ng'ombe sio sawa na kuendesha nchi.Stupid idea...jomba wewwe una elimu gani mzee...labda tuanzie hapo...au wewwe ni wale wazee wa elimu ya hapa na pale..unatoa hoja hujui hata reserve ya serikali ni kiasi gani, GDP ikoje, inflation iliyopo na forecast yake, productivity ikoje, market environment ikoje import na export na variable nyingine tele..embu tuambie una elimu gani
Ndio ujinga mnaowaambia. RAIA ninyi mlioko kwenye teuzi. Niingize kipato kidogo badala ya kununua sukari kilo mbili kwa 5000 nikapate kilo Moja kwa hiyo hiyo 5000.? Yeye ananunua sukari au kwa sababu analetewa tu na state? Nyie ndio wale mnaowaambia wengine wajiajiri wakati we we ukipigwa chini unakufa kwa stress.We fanya kazi achana na selikari jikwamue mwenyew usaidie familia yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka wakati huyo Magufuli ananunua korosho ya mkulima kwa bei hiyo, tayari kulikuwa na rekodi ya korosho kuuzwa kwa bei zaidi ya Sh 4000. Lazima Alaumiwe kwasabu korosho ilishuka thamani tofauti na ilivyotarajiwa.Kwenye swala la Korosho ni ujinga mkubwa kumlaunu Magufuli na serikali yake.
Kwa sababu wanunuzi wa Korosho walitaka kununua korosho kwa TSH. 2550 kwa kilo wakulima wakakataa kuuza wakisema bei ni ndogo wakaiomba serikali iwasaidie.
Mh Raisi akasema korosho zote zitanunuliwa na serikali kwa bei ya TSH. 3300 kwa kilo wakulima wakakubali.
Sasa hapo Magufuli munamlaumu kwa lipi? Acheni Propaganda
From. Mahuta Chikongola. Tandahimba
Shut your mandible!Nonsense
Taifa kulipuka kwa kishindo kikuu siku dk Magufuli akitangazwa rais - JamiiForumsNimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.