Nionesheni bodaboda aliyeagiza gari Japan au China kwa kipato cha bodaboda niache kazi ya utumishi wa umma ndani ya saa 24


Priviledge to take a loan ukanunua gari haikufanyi uwe mjanja, ndo maana wewe unakaa kwenye vijumba vya NSSF vile vya 2 bedrooms vichafu, huku una subaru ya 19m na mkopo wa 20 ma wa miaka 5.

1. Kiwanja huna.
2. Wanao wa kiume na wa kike wa share room.
3. Mafuta kwa mwezi 300,000
4. Mnalogana na wafanya kazi wengine sababu ya vyeo....

Kama hii ni sifa, na kujisifia, ni sawa....
 
Gari nyingi za walimu ni za wanawake waliolewa na watumishi wasiotaka competition, maana ukioa Mwalimu hadi akufunike mshahara kazini umekaribia kustaafu, ashakuwa mtu mzima anajitambua, vurugu zote hizi za ndoa ni huku chini kuanzia miaka 45 kushuka chini umri ambao wanawake wengi hawajitambui, wanadanganyika.
 
Acheni kudharau kazi za watu,

Ukiacha ulevi wa bei rahisi, bangi, na ujana mwingi, bodaboda ni kazi kama kazi nyingine

Zipo almost everycountry.

It is solving last mile problem, hii haiwez kuisha, hata ulaya wana the same problem, wanatumia different means kwa sababu ya development zao but kwa Africa huwez ondoa bodaboda, they help alot to connect unconnected.
 
Unamaliza chuo unaingia Kazi ya bodaboda at the end akili inalala huwazi ajira tena. Mliyesoma nae la saba anamiliki maduka, mashamba, malori ana experience ya kutosha kuhusu street life, anafunga mzigo China, nini maana ya kupoteza mda shule
 
Tatizo mnashindanisha mbio fupi na mbio ndefu
 
Bodaboda wengi wamejikua wanaharibikia ukubwana kwa tabia ya kubeba nyuma watu wenye tabia na nia tofauti tofauti.
 
Nasikia boda boda akipeleka mteja katikati ya jiji analipwa per diem laki,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mambo yakuzidiana kipato kutokana na kazi unayoifanya ni ushenzi tu , tatzo sio kipato kidgo je hicho kidgo unachopata utakifanyaje kuzalisha kikubwa, hyo ndio akili kubwa,sio boda na walimu tu wapo boda na walimu wanawazid mainjinia , ni swala la uwezo wa kuchakata kidogo kuwa kikubwa , ila yote ya yote boda waifanye hii kazi kwa malengo ya mda tu , wakipata mitaji waachane nao .
 
DUH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…