Nionesheni bodaboda aliyeagiza gari Japan au China kwa kipato cha bodaboda niache kazi ya utumishi wa umma ndani ya saa 24

Na mimi kama bodaboda nasema nionesheni mwalimu anayeweza kunywa bia kwa cash tena kwa kuzungusha siku 10 mfululizo baada ya kupata mshahara.
 
Mkuu kuwajibu boda boda ni kupoteza muda wako,hiyo kazi wanaifanya kwa sababu hakuna mbadala,maneno wanayotoa kukashifu watumishi wa umma kama walimu ni kujifariji tu...boda boda tuko nao humu mtaani na tunayajua maisha yao...huwezi mzarau mtu mwenye uhakika na wa mshahara,bima ya Afya na hata anaweza pata mkopo....tuishi nao tu hawa ndugu zetu,wacha wajifariji kwa hayo maneno.
 
Mh bodaboda gani analaza 35000 per day maisha sio rahisi kiasi hicho.
 
Mh bodaboda gani analaza 35000 per day maisha sio rahisi kiasi hicho.
Bodaboda anaefanya delivery. Anahudumia maduka hata 10 tofauti. Anapeleka mzigo na analeta hela kutoka kwa mteja hadi 2m bila shida.
 
NI kweli walimu nchini kwetu wanalipwa kipato kidogo kisichoendana na wakati uliopo lakini kauli ya bodaboda si kiungwana hata kidogo Mimi Nina imani na wao wanasikia tu kupitia kwenye vyombo vya habari jinsi walimu wetu kupitia vyama vyao vya wafanyakazi malalamiko yao juu ya kipato kidogo na mazingira magumu ya kazi lakini hii haitoshi kuwadharau walimu bado wana unafuu mkubwa kuliko bodaboda kuanzia kwenye upatikanaji wa huduma ya afya,mikopo kwa ajili maendeleo, uhakika wa kipato nk
 
Naomba mje na hoja nzito nyie walimu Mnaoshindia chai na kalimati

Naona mnajisifiasifia tu mara bima6 mara Eti wakuonyeshe bodaboda mwenye nyumba ya 20m uzile kufundisha

Hoja yangu[emoji1484]

We mwalimu unalipwa shingapi kwa mwezi kwamaana mimi naingza zaidi ya 35k Kwa siku
 
Maisha ya mbuzi yana dharau sana kula yake ya kupewa kamba, kula yake kila siku ya kukisiwa lakini anakunya mavi madogo madogo ila anataka kuishi kwenye banda kubwa🀣
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” #killa cam we akili kubwa, inatakiwa kuumiza kichwa kupata hii falsafa yako
 
Namm nooneshwe mwalimu au afisa wa juu wa serekalin aliaagiza gari jipya kutoka Japan ,

Wengi wenu mnaendesha magari used
Wakt boda boda wote Wana vyuma vipya

Hi Kaz siyo laana narudia siyo laana Ni Kaz Ni ofc za watu na familia zao waheshimiwe Hawa watu na waawezeshwe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Naweza kukutetea hujawa kebehi Kaz hz ,mpwayungu ndio kinara wa kukebehi walimu hapa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa alichanganya mafaili kidogo.

Mkuu hebu rudisha ile avatar ya mwanzo. Ilikuwa inaendana na harakati zako humu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mwalimu wa wapi ambae unaandika herufi kubwa tu unafundisha watoto ujinga boda boda anakuzidi maisha
 
Kuna walimu wengi nawajua wanaendesha bodaboda tena muda wa kazi na wana njaa kwelikweli hawaachi hata 100 kuna siku watabakwa huko vichochoroni wanakowapeleka abiria
 
Sijaelewa Mkuu kuagiza gari ndio mafanikio makubwa ya Watanzania? Serikali Punguzeni kodi japo Kidogo watu waweze kuagiza magari yao maana huku sokoni yanapigwa na Vumbi tuu ukilipia gari wauzaji wanashukuru kweli tena halina ile mikodi ya kuuana...
 
Aisee
 
Tunaishi na boda boda wengi tu huku mtaani

Wengi wao ni-

Wanywa viroba

Wanagonga Malaya mtaani.

Wanabaka wanafunzi wa sekondari

Wanatembeanna wake za watu

Wanavaa mavazi ya kihuni milegezo na kunyoa viduku Haiba za kihuni kabisa.

Matapeli na wanashiriki kuwachorea Ramani majambazi wapi wakaibe

Wezi wa piki piki wanazopewa na watumishi.

Wako wavuta bangi , watumiaji wa MADAWA ya kulevya na Ile harufu ya Petrol ndio kabisa wanawehuka akili.

Wanakufa sana kwa ajali kwa sababu za kijinga na kipuuzi kabisa.

Boda boda sio kazi ya kujivunia ni vile tu hawana options.

Hata walio smart still Wana struggle kutoboa kwenye maisha maana kufikisha rejesho ni kisanga kizito.

Waache kutunisha vifua na kutumika kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…