Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bodaboda, walimu na wengine wote nmekosa kuheshimiana na kuthaminiana.Hii sasa ni too much
Unamfaninishaje mtu anayekufa kama nzi hapa jijini Dar es salaam na mtumishi wa umma?
Unamfaninishaje bodaboda ambaye akipata ajari kubwa tu anakimbizwa Kijijini kwa mama yake akafie huko na mtumishi wa umma ambaye ana bima ya watu 6?
Mtu akistaafu anakunja mpaka milioni mia moja leo hii unamfananisha na Bodaboda ambaye hata nywele kuchana ni mtihani.
Nionyesheni bodaboda mwenye nyumba angalau ya milioni 20 ambayo Karen kwa kazi ya kubeba watu?
Sasa hivi muda wa kazi ukipita ofisi za umma zikiwemo shule za msingi Dar es salaam utakutana na gari namba C,D na E nyingi za walimu na hazijawahi kukosa mafuta hata siku moja.
Na service zinafanyiwa kwa wakati. Bodaboda akiharibikiwa cylinder head ya 35 anahangahika kama kaibiwa figo
Afisa utumishi wa wapi analipwa hako KA elaKwani Kwa take home ya 470,000/- ya Afisa Utumishi, anaweza kukopa milioni 20? Bodaboda wako juu ww
HalmashauriAfsa utumishi wawapi analipwa hako KA ela
Yeah,waliishtukia mom
Achome ofisi?Hii sasa ni too much
Unamfaninishaje mtu anayekufa kama nzi hapa jijini Dar es salaam na mtumishi wa umma?
Unamfaninishaje bodaboda ambaye akipata ajari kubwa tu anakimbizwa Kijijini kwa mama yake akafie huko na mtumishi wa umma ambaye ana bima ya watu 6?
Mtu akistaafu anakunja mpaka milioni mia moja leo hii unamfananisha na Bodaboda ambaye hata nywele kuchana ni mtihani.
Nionyesheni bodaboda mwenye nyumba angalau ya milioni 20 ambayo Karen kwa kazi ya kubeba watu?
Sasa hivi muda wa kazi ukipita ofisi za umma zikiwemo shule za msingi Dar es salaam utakutana na gari namba C,D na E nyingi za walimu na hazijawahi kukosa mafuta hata siku moja.
Na service zinafanyiwa kwa wakati. Bodaboda akiharibikiwa cylinder head ya 35 anahangahika kama kaibiwa figo
Acha waendeshe bodaboda mpaka viuno vilegee. Mimi nitaendelea kutafuna wake wao.Hii sasa ni too much