Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Mimi nisinge kunywa pombeee kabisa sema TU.Mainly malezi, lakini pia pombe is useless ni basi tu
Nakunywa very occasionally, na nikinywa ni kwa sababu maalum, na kidogo sana..Mimi nisinge kunywa pombeee kabisa sema TU.
Dunia ilinipa ukatili Fulani nimeanza kunywa nimemaliza university...maisha yangu yotee nyuma nili iogopa sana pombeee
Mimi ni mnywaji sawa ila sio mlevii na Sito kuja kuwa mlevii abadanii pombe ni afya pombe ni tiba.
NB. Kama HUJAWAI kutumia kilevi chochote basi mtu huyo HAJAWAI KUISHI FULL STOP.
Wazazi wangu wote walikuwa hawanywi pombe, sijawahi kuwa na mtu wa karibu anayekunywa pombe, na pia sijawahi kutamani kunywa pombe. Wakati niko advance kuna wanafunzi walikuwa wanaruka ukuta wanarudi na Konyagi, nilimuomba jamaa mmoja kizibo cha Konyagi nionje, aisee sijawahi kunywa kitu kichungu na kikali kama kile na ilikuwa kifuniko kimoja tu.Mimi: Ladha inanishinda.
View attachment 3629587
Ni vyema sana ukiweza ku control wengi wameharibikiwa kwa sababu ya mapombeNakunywa very occasionally, na nikinywa ni kwa sababu maalum, na kidogo sana..
Napenda kujua jinsia na umri wako nipate cha kukuhusia kwa nia njema kabisaa..Wazazi wangu wote walikuwa hawanywi pombe, sijawahi kuwa na mtu wa karibu anayekunywa pombe, na pia sijawahi kutamani kunywa pombe. Wakati niko advance kuna wanafunzi walikuwa wanaruka ukuta wanarudi na Konyagi, nilimuomba jamaa mmoja kizibo cha Konyagi nionje, aisee sijawahi kunywa kitu kichungu na kikali kama kile na ilikuwa kifuniko kimoja tu.
Hadi leo sijawahi kupenda pombe na ni starehe ambayo nimeacha wawe wanaenjoy watu wengine. Sitaki kuwa mmoja wapo
Kwenye pombe unapata nini ambacho wasiokunywa wanakikosa?Kutokunywa pombe ni matumizi mabaya ya maisha
Naweka lamination 😁☺️Kutokunywa pombe ni matumizi mabaya ya maisha
Nikilewa siwezi kugonga vizuri ili nimgonge vizuri inabidi niwe jicho kavu bila kilevi nagonga mpaka nabomoa kitasa na kuingia na mlango kabisaMimi: Ladha inanishinda.
Usiwasanue acha utamu wa pombe tuufurahie wenyeweNapenda kujua jinsia na umri wako nipate cha kukuhusia kwa nia njema kabisaa..
Kuna pombe tamu tamu kama brutal, Smirnoff ice, savanna, flying fish, Serengeti apple n.k
Mimi pia Huwa napiga konyagiiii nachanganya na tonic water maana kunywa kavu siwezi
Unakufa kizembe zembe bila kufurahia maishaKutokunywa pombe ni matumizi mabaya ya maisha
Hii comment ilindwe kwa wivu mkubwa 😊Uwii atokee mtu aiseme vibaya pombe, hakika huyo atakua adui wangu
Sawa kaka ngoja tukae kimya kakaa😁☺️😊Usiwasanue acha utamu wa pombe tuufurahie mwenyewe
Hiki kinywaji kilindwe kwa wivu mkubwa sanaSawa kaka ngoja tukae kimya kakaa😁☺️😊