Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

Ni vyema sana ukiweza ku control wengi wameharibikiwa kwa sababu ya mapombe

Kaka Castle_Lite toa neno kaka 😊

Nilianza kunywa coz niliona mshua anakunywa.
Enzi za Castle Lager.

Kaka yangu tumepishana mwaka na miez kadhaa.
Tulivyokuwa form 2 Tulitoka out kula nyama (mm , kaka na mshua). Bas mzee akasema anayetaka kunywa anywe hata kama ni bia 😊😊😊.

tukaagiza wote pamoja.
Mabia makubwa yale. Nilikunywa mawili na kuna Kafuraha flan nilisikia😊😊😊na kujiamini.
kwahiyo nikasema ntakuwa nakunywa.

Too bad Kaka yangu alikunywa nae 2. Sema alizingua. Aliongea sana hovyo anapayuka payuka. Mixer anampigia mshua story za mashule maana tulikuwa boarding wote. 😊😊😊.
Kiufup aliongea sana na akajiaibisha
Na Tangu kipind hiko jamaa hapend bia na hanywi. Eti akigusa bas anakunywa Saint Anne.

Mm nilikuwa solid.

Kwahiyo Bia sio za Kila mtu.
Ukiona unakunywa na unazingua kwa namna yoyote. Bas temana nazo. Wapo wanazozimudu. Na hawatetereki. Na wanakunywa kwa starehe.

wengi waliokunywa bia na wakafanya mambo ya Hovyo ndio haswaa wanaoacha BIA. coz wakifikiria impact baada ya bia wanaona sio kweli.

na tunaoendelea kunywa bia weng tunazimudu. Na ndio maana tunaendelea kunywa.
 
Napenda kujua jinsia na umri wako nipate cha kukuhusia kwa nia njema kabisaa..

Kuna pombe tamu tamu kama brutal, Smirnoff ice, savanna, flying fish, Serengeti apple n.k

Mimi pia Huwa napiga konyagiiii nachanganya na tonic water maana kunywa kavu siwezi
Hizo pombe tamu tamu zakuwalegeza mamanzi kabla wazee wa nyagi hatujawapitia "unyabeni", ushauri wako akiupokea atauponza
 
Nilianza kunywa coz niliona mshua anakunywa.
Enzi za Castle Lager.

Kaka yangu tumepishana mwaka na miez kadhaa.
Tulivyokuwa form 2 Tulitoka out kula nyama (mm , kaka na mshua). Bas mzee akasema anayetaka kunywa anywe hata kama ni bia 😊😊😊.

tukaagiza wote pamoja.
Mabia makubwa yale. Nilikunywa mawili na kuna Kafuraha flan nilisikia😊😊😊na kujiamini.
kwahiyo nikasema ntakuwa nakunywa.

Too bad Kaka yangu alikunywa nae 2. Sema alizingua. Aliongea sana hovyo anapayuka payuka. Mixer anampigia mshua story za mashule maana tulikuwa boarding wote. 😊😊😊.
Kiufup aliongea sana na akajiaibisha
Na Tangu kipind hiko jamaa hapend bia na hanywi. Eti akigusa bas anakunywa Saint Anne.

Mm nilikuwa solid.

Kwahiyo Bia sio za Kila mtu.
Ukiona unakunywa na unazingua kwa namna yoyote. Bas temana nazo. Wapo wanazozimudu. Na hawatetereki. Na wanakunywa kwa starehe.

wengi waliokunywa bia na wakafanya mambo ya Hovyo ndio haswaa wanaoacha BIA. coz wakifikiria impact baada ya bia wanaona sio kweli.

na tunaoendelea kunywa bia weng tunazimudu. Na ndio maana tunaendelea kunywa.
Nikiwa kidato cha pili nilikua natupia begani mkanda mzima wa kiroba og kama komando kipensi
 
Mara ya kwanza nimekunywa kiroba shule ya msingi, sikuona noma mpaka o level form one ndio nilianza kugusa kaya na tungi.

Wamenikuta wengi kwenye game wengine zimewaua wengine zimewaachia ukilema lakini bado nadunda, kikubwa nidhamu. Zingatia pombe sio chai
 
Napenda kujua jinsia na umri wako nipate cha kukuhusia kwa nia njema kabisaa..

Kuna pombe tamu tamu kama brutal, Smirnoff ice, savanna, flying fish, Serengeti apple n.k

Mimi pia Huwa napiga konyagiiii nachanganya na tonic water maana kunywa kavu siwezi
Sisemi pombe ni mbaya, najua pombe japo ni chungu lakini ina raha yake ndio maana watu kibao duniani wako addicted.
Ni basi tu sio ulimwengu ambao natamani kuu explore, halafu nahofia naweza nikawa addicted ikawa kazi ngumu kuacha, wakati naishi Kusini kuna jirani yetu alifariki kwenye mashindano ya kunywa gongo, akaacha mke na watoto. Utajuaje ukianza kunywa pombe hautakuwa addicted kiasi hicho. Maana kujicontrol nako sio kipaji cha kila mtu. Pombe zina wenyewe 😁
 
Nilianza kunywa coz niliona mshua anakunywa.
Enzi za Castle Lager.

Kaka yangu tumepishana mwaka na miez kadhaa.
Tulivyokuwa form 2 Tulitoka out kula nyama (mm , kaka na mshua). Bas mzee akasema anayetaka kunywa anywe hata kama ni bia 😊😊😊.

tukaagiza wote pamoja.
Mabia makubwa yale. Nilikunywa mawili na kuna Kafuraha flan nilisikia😊😊😊na kujiamini.
kwahiyo nikasema ntakuwa nakunywa.

Too bad Kaka yangu alikunywa nae 2. Sema alizingua. Aliongea sana hovyo anapayuka payuka. Mixer anampigia mshua story za mashule maana tulikuwa boarding wote. 😊😊😊.
Kiufup aliongea sana na akajiaibisha
Na Tangu kipind hiko jamaa hapend bia na hanywi. Eti akigusa bas anakunywa Saint Anne.

Mm nilikuwa solid.

Kwahiyo Bia sio za Kila mtu.
Ukiona unakunywa na unazingua kwa namna yoyote. Bas temana nazo. Wapo wanazozimudu. Na hawatetereki. Na wanakunywa kwa starehe.

wengi waliokunywa bia na wakafanya mambo ya Hovyo ndio haswaa wanaoacha BIA. coz wakifikiria impact baada ya bia wanaona sio kweli.

na tunaoendelea kunywa bia weng tunazimudu. Na ndio maana tunaendelea kunywa.
Madini sana ume yasema pombe mara nyingi ipo ivyo.

Mimi ngumu kujua kama nimekunywa pombe sababu ukoo wetu tuna damu ya pombe.

R.i.p baba japo ulikua unakunywa ila familia ilikua ndio kipaombele chako..na siku zote ulikua unatuambia siku zote pafanye nyumbani kwako iwe PARADISO YAKOOO.
 
Nikiwa kidato cha pili nilikua natupia begani mkanda mzima wa kiroba og kama komando kipensi
Viroba vile alaf vilikuwa vitam. Harufu flan amaizing.

Hii Konyag ya sasa haina Test ile.
Yaan ile ilikuwa OG kabisa.

Viroba nimekunya sana 2008-2011 . Tulikuwa tunachanganya na pepsi. Na kitimoto 😋😋😋😋.

Budget ya 5k. Unatosheka na unakuwa ushajitoa out.
Viroba Vilikuwa vinaunzwa 1,200 hivi kama sikosei.
Pepsi mia 5 hivi na kitomoto nusu elfu 3. Dodoma hiyo..dah.

Waswano kipind hiko. 😊😊😊
 
Sisemi pombe ni mbaya, najua pombe japo ni chungu lakini ina raha yake ndio maana watu kibao duniani wako addicted.
Ni basi tu sio ulimwengu ambao natamani kuu explore, halafu nahofia naweza nikawa addicted ikawa kazi ngumu kuacha, wakati naishi Kusini kuna jirani yetu alifariki kwenye mashindano ya kunywa gongo, akaacha mke na watoto. Utajuaje ukianza kunywa pombe hautakuwa addicted kiasi hicho. Maana kujicontrol nako sio kipaji cha kila mtu. Pombe zina wenyewe 😁
😁☺️
 
Viroba vile alaf vilikuwa vitam. Harufu flan amaizing.

Hii Konyag ya sasa haina Test ile.
Yaan ile ilikuwa OG kabisa.

Viroba nimekunya sana 2008-2011 . Tulikuwa tunachanganya na pepsi. Na kitimoto 😋😋😋😋.

Budget ya 5k. Unatosheka na unakuwa ushajitoa out.
Viroba Vilikuwa vinaunzwa 1,200 hivi kama sikosei.
Pepsi mia 5 hivi na kitomoto nusu elfu 3. Dodoma hiyo..dah.

Waswano kipind hiko. 😊😊😊
Zed😆
 
Back
Top Bottom