Nexltshahda
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 405
- 820
HaaaaahHii comment ilindwe kwa wivu mkubwa 😊
HaaaaahHii comment ilindwe kwa wivu mkubwa 😊
Mzeee sisi ukoo wetu majority wanakunywa Mimi nliliweka nadhiri Sito kunywaMarudia tena, umesema kilichokufanya uanze kunywa ni maisha, basi maisha hayahaya yanaouwezo wa kukufanya uwe mlevi. Kama mwanzo yalikupisha mahala ukajikuta unakunywa, naweza kukupitisha mahala ukajikuta mlevi. Ungekua umeanza kunywa wa maamuzi tu ya akili yako maana yake control ungekua nayo wewe, ila control ilitoka kwenye maisha, si yako.
Haya mambo ya kulala mazima (kifo) ndo yananifanya nishindilie mibia na mavitimoto kama mwehu vile🤣🤣🤣...maana najua kikinuka ndo basi tena funza na mchwa halali yao!Hakuna pepo.
ukilala umelala. Full stop.
Anyway mm ni Mkristo 😊😊😊😊
Tunakusajili kwenye chama letuHunywi bia, huli kitimoto🙄🙄🙄..ulikuja hapa duniani kufanya nini sasa?
Meaningless life!
Utakuja kujutia bora ujilewee Tu😩😩Baba yangu alikuwa mlevi, nilijiapiza sitaiga maisha yake! I can't drink or eat anything that can change my mental state.