Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

Fanya kitu roho moyo unapenda kama haupendi basi Mi nimejikuta sipendi pombe japo sjwah kunywa
 
Nimekulia familia ambayo watu wote wanakunywa, yaan baba, mama, kaka, dada (I love my family)................na hakuna athari yoyote niliyoiona, hakuna matukio wala nini, watu wanakunywa zao wanaendelea na shughuli zao kama kawaida..............................mimi nimeanza kuonjeshwa toka nipo Shule ya msingi na sijaona athari yoyote mpaka leo nakunywa natulia zangu sigombani na mtu, situkani, sifanyi jambo lolote la ajabu, Yan mtu akianza kuniambia madhara ya pombe naona kama ananipigia kelele, maana hata sielewi.

Yan mpaka leo nikienda kuwatembelea wazazi wangu huwa nakaa nao tunakunywa tunafurahi siku mbili tatu nasepa zangu
 
Kipindi nakua niliona kunywa pombe ni uhuni
Kuna vitu "uhuni" nilijiapiza sitokuja kufanya kwenye maisha yangu.

Najipongeza🥂
 
Back
Top Bottom