min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Bar zinajirudia sna😅Sura si ngeni!
Bar zinajirudia sna😅Sura si ngeni!
Mimi namixia pombe kama club soda!Na mna masifa , wakati wine kwangu naitumia kukata hangover 😅
Et nakunywa wine tu , Pumbavu 🤣Mimi namixia pombe kama club soda!
Ina swagger kaka. Niletee semi sweet red wine 😁 na ukiwa unatamka kuna kalahaja ka buckingham kanakuja automatically 😁😁Na mna masifa , wakati wine kwangu naitumia kukata hangover 😅
Hiyo nasukutulia mdomo kuondoa ugwadu wa shombo la kuto kunywa kwa mda😅Ina swagger kaka. Niletee semi sweet red wine 😁 na ukiwa unatamka kuna kalahaja ka buckingham kanakuja automatically 😁😁
Wewe ili usitie hasara inabidi uagiziwe bapa 😁😁Mimi namixia pombe kama club soda!
Figo zako zinasikitika kaka😁Hiyo nasukutulia mdomo kuondoa ugwadu wa shombo la kuto kunywa kwa mda😅
Kuna siku mtu aliniletea lile four cousins kubwa hakuamini niliyolikata lote, na nikaongeza ndogo yake 😎Et nakunywa wine tu , Pumbavu 🤣
Juzi kuna mlokole ndani ya familia kaniomba nimchangie figo😅Figo zako zinasikitika kaka😁
Ila wewe😅😅Kuna siku mtu aliniletea lile four cousins kubwa hakuamini niliyolikata lote, na nikaongeza ndogo yake 😎
There is no healthy amount of alcohol.Mimi: Ladha inanishinda.
View attachment 3629587
Hayo makolokolo ndio sitayaweza, ila scotched whiskey yoyote fureshi tu!Wewe ili usitie hasara inabidi uagiziwe bapa 😁😁
We ni nyoko sana! 😂Juzi kuna mlokole ndani ya familia kaniomba nimchangie figo😅
Hayo mambo ya wazungu mnakunywa kumeng'enya chakula nimewaachia ninyi! mi msukuma bana!😂Ila wewe😅😅
Wine ni pombeNa wale wa "nakunywa wine tu" wamejumuishwa kwenye hesabu ya wasiokunywa😁😁😁
Sio mimi asee🤣Hayo mambo ya wazungu mnakunywa kumeng'enya chakula nimewaachia ninyi! mi msukuma bana!😂
Figo ambayo inachuja mpaka k vant wanaitaka ila k vant hawataki😅We ni nyoko sana! 😂
Ndio yaleyale ya kitimoto haram ila wanamla mla kitimoto!Figo ambayo inachuja mpaka k vant wanaitaka ila k vant hawataki😅
kuna njia nyingi za kufurahia maisha si lazima pombeUnakufa kizembe zembe bila kufurahia maisha
Starehe ya kale zaidi ukitoa ngono ni pombekuna njia nyingi za kufurahia maisha si lazima pombe