Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Huyo alikuwa ni Think tankEmagine yesu alifikiriiii anawaza kinywaji kitakacho wakilisha damu yangu ni iwe ni Tungi pombe mzeeeee
Huyo alikuwa ni Think tankEmagine yesu alifikiriiii anawaza kinywaji kitakacho wakilisha damu yangu ni iwe ni Tungi pombe mzeeeee
Marudia tena, umesema kilichokufanya uanze kunywa ni maisha, basi maisha hayahaya yanaouwezo wa kukufanya uwe mlevi. Kama mwanzo yalikupisha mahala ukajikuta unakunywa, naweza kukupitisha mahala ukajikuta mlevi. Ungekua umeanza kunywa wa maamuzi tu ya akili yako maana yake control ungekua nayo wewe, ila control ilitoka kwenye maisha, si yako.Na miaka zaidii ya 10
Wengine tuna jielewa sana sanaaaaaa
Stor vijiwe vya kahawa mitaa galilaya enzi hizoMIUJIZA WA KWANZA YESU KUBADILI MAJI KUWA MVINYO..
POMBE IMEKUWEPO TANGU ENZI NA ENZI
MIMI NIKIGUSA KONYAGIIII NDOGO MOJA NISEME KWELI AKILI INACHAJI KUPITA PROF. YEYOTE YULE
Ingekua huko arabuni wapo timamu kuliko nchi za ulaya ambazo wanakunywa kupindukiaNiliacha hata kuonja nilipofahamu kwamba unywaji mara kwa mara ni sumu mwilini ambayo inaharibu afya yako na ubongo (brain shrinkange, white matter damage na cognitive decline)
Unakuta ulifanyia nini 80k local bia si unakufa kabisa?Hakuna kitu kanauma kama ulilala umelewa halafu kuamka asubuhi stimu zimekata halafu mfukoni una 2000 wakati jana ulikuwa na 80000 aisee inauma sana mpaka unaamua hiyo 2000 ukanywe tu komoni
Umeshaishi nchi za ulaya na unajua jinsi wazungu wengi tu walivyo wajinga, strength yao ni kwamba wana mifumo tu ambayo tayari walisha i-establish huko kipindi cha nyuma.Ingekua huko arabuni wapo timamu kuliko nchi za ulaya ambazo wanakunywa kupindukia
Mbaya zaidi nchi zinazoongoza kwa unywaji viwango vya elimu vipo juu na umri wa kuishi upo juu, ulaya tangu wanajenga hiyo mifumo pombe ni sehemu ya utamaduni waoUmeshaishi nchi za ulaya na unajua jinsi wazungu walivyo wajinga, strength yao ni kwamba wana mifumo tu ambayo tayari walisha i-establish huko kipindi cha nyuma.
Bwashee, utanichosha kuanza kutafuta data sasa hivi.Mbaya zaidi nchi zinazongoza kwa unywaji viwango vya elimu vipo juu na umri wa kuishi upo juu, ulaya tangu wanajenga hiyo mifumo pombe ni sehemu ya utamaduni wao
Ugali , wali soda na nk pia ni unhealthy 😅 hii dunia tukianza tafuta matatizo kwa kila kitu itakushangaza sana 😅 bibi yangu yupo mpaka sasa nayeye anakula bia tena yake ni safari ana 100+ila babu alikua hanywi kitu kafa na 87 tuBwashee, utanichosha kuanza kutafuta data sasa hivi.
Najua unajua pombe ni unhealthy, basi tuishie hapo.
Na mimi najua socially pombe inachangamsha, na ni haki yenu kuendelea kuenjoy maisha.
Inawezekana ushalewa, unaninyonya energy yangu tu hapa 😏🥱IUgali , wali soda na nk pia ni unhealthy 😅
hii dunia tukianza tafuta matatizo kwa kila kitu itakushangaza sana 😅 bibi yangu yupo mpaka sasa nayeye anakula bia tena yake ni safari ana 100+ila babu alikua hanywi kitu kafa na 87 tu
Mm Sina mavisa mengi. Zaid zaid ni kurud Home late.Binafsi pombe niliona tuu siziwezi/zimenishinda, nikaachana nazo, zaidi ya miaka tisa iliyopita. 😊
Visa vya pombe ninavyo vingi sana.
Niliacha hata kuonja nilipofahamu kwamba unywaji mara kwa mara ni sumu mwilini ambayo inaharibu afya yako na ubongo (brain shrinkange, white matter damage na cognitive decline)
Mm Sina mavisa mengi. Zaid zaid ni kurud Home late.
Ila Soon na mm natundika Daruga.
Miaka 15 hiv ina karibia ya Kunywa intensive. Yaan kuna miaka ya 2014 hadi 2018 mwishon ilikuwa kama nikipitisha Siku bila kunywa ujue kuna dharura. Na hapo nina Mind kichizi.
Aisee Castle lite nimezichabanga sana 😊😊😊.
Ila Sikuhizi kwa wiki nakunywa mara 3 au 4. Na pia Hamu inakata. Sina tena mzuka ule na pace ile niliyokuwa nayo.
Kwahiyo Soon nitastaafu kiroho safi.
Mm Sina mavisa mengi. Zaid zaid ni kurud Home late.
Ila Soon na mm natundika Daruga.
Aisee Castle lite nimezichabanga sana 😊😊😊.
Ila Sikuhizi kwa wiki nakunywa mara 3 au 4. Na pia Hamu inakata. Sina tena mzuka ule na pace ile niliyokuwa nayo.
Kwahiyo Soon nitastaafu kiroho safi.
Ukiweza kuacha pombe fanya tafrija mzee; pombe na sigara kuacha huwa ni mziki sana. 😊
Mwili ukikataa Unaweza kuacha Kirahisi.
Mm naona mwili unagoma. Pengne Sumu ni ming mwilin . 😊😊😊😊.
Na Kausingizi katamu. 😊😊😊😊
Kwakweli. Na watu wa namna hii hawafai watumie Vilevi. Hawa ndio wakiwa na mahasira na pombe iko kichwan wanafanyaga mambo ya kiwaki sana.Pombe ni kichwa aisee! Wapo watu bia mbili tuu anaanza kuwauliza kaunta; mnajua mi nani? Hapo sio muda mnashikana mashati. 😊
Bia mbili tatu ugomvi unaanza.