Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

Nilipomaliza kidato cha sita nilipata kikazi kisicho rasmi nikawa napata visent. Niliingia kwenye kuywa viroba kwa kasi ya 6G nikiongozwa na rafiki zangu watatu wazoefu. Baada ya kwenda chuo kikuu hadi namaliza sikugusa pombe. Niliporudi kitaa kuna siku nikasema nijaribu, ila baada ya kinywa hali yangu sikuifurahia. Nijaribu tena mara ya pili hali ikawa vilevile. Tangi hapo sijawahi kugusa wala kutamani pombe. Ni mimi na pepsi bariidii
 
Nikiwa kidato cha pili nilikua natupia begani mkanda mzima wa kiroba og kama komando kipensi
Zilikuwa kali sana, zile kiroba original, tulikuwa tunaziita "jogoo" na ilikuwa na chapa ya jogoo, ndio brand ya K-vant.

Kulikuwa na jogoo ndogo na kubwa aloooh!!

Ukinywa kooni unahisi kama miali ya moto inapita.

Ndogo ilikuwa ni 300, kubwa 700.

Walikuwa wakichuana na baba Lao Konyagi.
Mpaka wakafika bei elekezi "1200" kwa kubwa na ndogo 500 . Ndo ukawa mwisho wa mchuano.
 
Sema mimi nilivutiwa na ka harufu ka nanasi ,hivyo nilikua nalamba sana zed
 
Ukristo unasema kuwa pepo ipo, nakushangaa wewe unakana.

Luka 23:43 – Yesu alimwambia yule mwizi aliyetubu msalabani: "Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi."
1 Timotheo 5:23

“Usinywe maji tu, bali tumia divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na magonjwa yako ya mara kwa mara.”
 
1wakorintho 6:

"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 10 wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi"
 
Wapi kataja pombe?
 
Back
Top Bottom