Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

Wazazi wangu wote walikuwa hawanywi pombe, sijawahi kuwa na mtu wa karibu anayekunywa pombe, na pia sijawahi kutamani kunywa pombe. Wakati niko advance kuna wanafunzi walikuwa wanaruka ukuta wanarudi na Konyagi, nilimuomba jamaa mmoja kizibo cha Konyagi nionje, aisee sijawahi kunywa kitu kichungu na kikali kama kile na ilikuwa kifuniko kimoja tu.
Hadi leo sijawahi kupenda pombe na ni starehe ambayo nimeacha wawe wanaenjoy watu wengine. Sitaki kuwa mmoja wapo
Daa nimecheka asee
 
6EC4C457-9B45-448D-AB29-E3EED97117E1.jpeg

min -me
 
Kwahiyo hizi Uzi zako za Kunyegesha wana JF huwa unaziandika ukiwa Sober? 🙄🙄🙄🙄.
Ndiyo, sijawahi kuandikia nikiwa nimetumia kilevi chochote.
Ila ile high nakua nayo baada ya kuzamuliwa vizuri :uwotWater:, hakuna cha kuifikia aiseeh!
Ww usiguse Pombe aisee 😊😊😊😊
Doh hili limenishangaza kwakweli.
Siyo tu sigusi, hata ladha yake siipendi, sijawahi kuweza kunywa bia maisha yangu yote.
 
Usiguse kabisa, pombe sio nzuri ndio maana tunafanya bidii tuzinywe ziishe kizazi kinachokuja kisiathirike .
 
Ila ile high nakua nayo baada ya kuzamuliwa vizuri :uwotWater:,
siku ukiwa Na bia Kichwan alaf ukanyanduliwa . Utajuta kwann hukuijua mapema 😊😊😊
hata ladha yake siipendi, sijawahi kuweza kunywa bia maisha yangu yote.
Kuna Vibia vina taste nzur sana..actually ni Soda.
Frying Fish na wenzake.

mm siwez date na Fame hanywi bia. 😊😊😊😊
 
Kwahiyo hizi Uzi zako za Kunyegesha wana JF huwa unaziandika ukiwa Sober? 🙄🙄🙄🙄.

Ww usiguse Pombe aisee 😊😊😊😊
Doh hili limenishangaza kwakweli.

Eti ndugu yangu. Mbaga Jr hili una amini?
Huyo lazima ashtue kdg ili kujitoa akili humu 😎
 
Back
Top Bottom