Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

Sisemi pombe ni mbaya, najua pombe japo ni chungu lakini ina raha yake ndio maana watu kibao duniani wako addicted.
Ni basi tu sio ulimwengu ambao natamani kuu explore, halafu nahofia naweza nikawa addicted ikawa kazi ngumu kuacha, wakati naishi Kusini kuna jirani yetu alifariki kwenye mashindano ya kunywa gongo, akaacha mke na watoto. Utajuaje ukianza kunywa pombe hautakuwa addicted kiasi hicho. Maana kujicontrol nako sio kipaji cha kila mtu. Pombe zina wenyewe 😁
Umeandika kwa hekima sana , kuwa una lamba hata tu Kilimanjaro kwa afya tule ni kama maziwa tu bwashee
 
Sisemi pombe ni mbaya, najua pombe japo ni chungu lakini ina raha yake ndio maana watu kibao duniani wako addicted.
Ni basi tu sio ulimwengu ambao natamani kuu explore, halafu nahofia naweza nikawa addicted ikawa kazi ngumu kuacha, wakati naishi Kusini kuna jirani yetu alifariki kwenye mashindano ya kunywa gongo, akaacha mke na watoto. Utajuaje ukianza kunywa pombe hautakuwa addicted kiasi hicho. Maana kujicontrol nako sio kipaji cha kila mtu. Pombe zina wenyewe 😁

Ni kweli.
Pombe sio za Kila mtu.

Kuna mtu anaweza akanywa bia 2 tu . Akalewa na akajiona yeye Tajiri wa Katoro😊😊😊😊.
Wengne wakorofi na wagomvi.
Wengne mshipa wa aibu unakatika.

na ukitaka kujua kuwa Kuna watu hawana Vichwa vya pombe. Mm niliona Mbaba mtu mzima amelewa serengeti Lite 2 😊😊😊 akaanza ropoka na kujinad yye ni nani na kuanza kushika wahudumu makebo.
Yaan kaja Vizur. Alaf Vibia 2 vikamtoa KO.

Hawa ndio waache bia. Wanajiaibisha 😊😊😊😊
 
Back
Top Bottom