Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Yaani unakuwa umekaa tu pesa inaingia yenyewe?
Kwa Shughuli yake ya kukaa shop kuanzia asubuhi mpaka usiku,Kasema anahitaji online biznes isiyo hitaji movement Yani atayo ifanya akiwa anaendelea na Shughuli yake ya shop lakini hana ujuzi wowote wa IT na hataki online biznes za forex, bitcoins,online biznes za kuinvest,kufungua sijui blog, YouTube .Kama Kuna nyingine ndo anaomba maelekezo.Maana Kuna nyingine zinahitaji kupiga picha kitu ambacho yeye hawezi Kwa sababu ya kushinda shop muda wote.
 
Ponz scheme...
Mkuu siwezi leta kwa watu scam ndio mana nikasema kujiunga hutumii ela just ni free wakt unajiunga unaanza na kianzio elfu kumi utainvest according tu the balance u have ukiona Iko poa unaweza xx ukaweka ela
 
Ni Software gani nzuri ya kufanya Subtitles Powerdirector inakataa kuongia kwa PC yangu.
Kama unafanya subtitle ambazo ni part of the video zipo nyingi hata easy video editor inafanya. Ila mimo napendelea kufanya subtitle ambazo ni srt au ass file so video na subtitle ni files tofauti.. napenda tumia aegisub
 
Ndugu hchi kitu kina uhalisia kweli? ... na kama ni kweli je kuna umuhimu wa kuwa na Bank...kama pesa ndo inapatikana kirahisi ivi ... au ndo ukiona unmitigated fursa jua wewe ndo fursa yenyewe
 
Ingia Google andika how to be richer than Jeff benzo in 3hrs itakusaidia sana
 
Kuna apps ambazo unaingiza kipato kidogo kwa kushare data(Mbs). Mfano wa hizo app ni Honey Gain, Peer2Profit n.k
Tuanze na App hii inaitwa Peer2Profit haitokuingizia pesa nyingi kwa haraka ila utapata chochote kitu kutegemea na matumizi yako ya internet.

App hii inakuwezesha kuingiza pesa kwa kushare internet yako. Unaweza kuearn kuanzia $2 mpaka $1000 kila mwezi kulingana na how active you are.


Tumia link hii πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† kujisajili. Ni simple tu, bonyeza link itakupeleka playstore download kisha signup kutumia gmail yako. Then seat back and relax.

Hii App ni safe na ina ratings 4.79/5 meaning ni salama na inaaminiwa.
 
$1000 kwa mwezi? πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…