Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Sio lazima uinvest, kuinvest ni uamuzi wako mwenye kwa mfano kununua connects upwork japo ukijiunga unapewa za bure au kulipia premium membership freelancer.
By the way inategemea unafanya nink kama graphics kuna platform nzuri zaidi kwa ajili ya madesigners tofaut na hizi upwork
Mkuu unajua watu hatuelewani tunaitaka ujuzi sio site direct leo hii mtu akienda upwork bila ujuzi haina tija na Wala hatoambulia kitu zaidi ya manyoya nataka ujuzi
 
Sometimes ujuzi unaupata njiani ukiwa unajaribu mambo. Mfano, nilianza fanya subtitling nikiwa sina abcs, the thing nilikuwa napewa transcription ikiwa kwenye ass file mm kazi kusync sentence ziendane na mzungumzaji na zilikuwa character 63 per screen.
Overtime nikaja fanya subtitling ya BBC ambapo sasa nikawa introduced to netflix subtitling ambapo characters hazizidi 43 kwa mstari na mistari haizidi miwili per screen na mstari haukai zaidi ya sekunde 3.5 na ukaaji wake usipungue sekunde 1.25 I guess.
Yote haya nilifunza along the way.
Everyday unajfunza mambo mapya mkuu.
Duh unaogopesha ngoja tujaribu haina kufeli asante sana
 
Anafanya kazi amejiriwa hiyo ni part time job. Na hata hafanyi kazi za marketing online anafanua shughuli nyingine nyingine ila amededicate muda wake na anatoa kazi nzuri.
Watu wanapiga pesa nzuri tu mbona sema sio kwenye issue za survey
Najifunza kutoka kwako.Nimeajiriwa na Nina muda mwingi ambao unapotea bure.Natamani nije kuwa Kama huyo sister uliyemtrain Ila nakosa njia ya kuingilia
 
Wakati unawaza online business usisahau kuwa uliruhusu vibaka kushika dola kwa hiyo cha mtema kuni kinakusubiri.
AAxfMd.jpg
 
HOW MUCH CAN YOU EARN?​

Remotasks pays per task that you complete correctly.
Here are the expected pay rate and the approximate duration of some tasks.
  • Image annotation: 0.05 – 0.20 USD per task (< 4 minutes).
  • Categorization: 0.01 – 0.02 USD per task (< 3 minutes).
  • For audio transcription and other tasks, you can expect to earn 1-2 USD per hour.
  • Lidar: 5 – 80 USD per task ( 3 – 6 hours per task).
Mfano wa 3D annotation(Lidar annotation)
 
Upwork wako serious sana kama hiyo ya data entry wanataka uwe na MS Excel certificate ambayo ni $150,kama mhasibu uwe na CPA yaani wamebase kwenye Professionalism kuna watu wanapiga $25+/hrs

Yaah kule kupata kazi inabidi ujipange ni mtiti
 
HOW MUCH CAN YOU EARN?​

Remotasks pays per task that you complete correctly.
Here are the expected pay rate and the approximate duration of some tasks.
  • Image annotation: 0.05 – 0.20 USD per task (< 4 minutes).
  • Categorization: 0.01 – 0.02 USD per task (< 3 minutes).
  • For audio transcription and other tasks, you can expect to earn 1-2 USD per hour.
  • Lidar: 5 – 80 USD per task ( 3 – 6 hours per task).
Mfano wa 3D annotation(Lidar annotation)

Hii kazi ngumu na inatembea na bundle kinoma hii kazi ya lidar.
Mimi nilikula training nikaifanya kama mwezi nikaiacha
 
Hii kazi ngumu na inatembea na bundle kinoma hii kazi ya lidar.
Mimi nilikula training nikaifanya kama mwezi nikaiacha
Training ilikuchukuwa muda gani kumaliza?
Ulitengeneza kiasi gani per month?
 
Training ilikuchukuwa muda gani kumaliza?
Ulitengeneza kiasi gani per month?
Annotation sikufanya maana naijua na niliona haina ela, training ilinichukua kama week kwa kusoma mwenyewe na pia kuna training wanazifanya wakenya via internet ukijiunga renotask unakuwa wapokea invitations.
Baada ya hapo kuna paper unapga ukifaulu unaanza kazi. Technically nlicheat lile paper maana nligundua weakness ukikosa ukapga back back then ukianza piga next inakupa right, sina hakika kama hii weaknéss bado ipo maana naongelea mambo ya 2 years ago.
Kama 500 au zaidi sikumbuki vizuri maana mpaka pia ukute task zipo si kwamba zipo tu muda wote lakini zipo mara kwa mara. Halafu itakuchua masaa mengi zaidi ya hayo mwanzoni.
Pia inahitaji poweful machine kidogo na inakula bundle 😄
Nilifanya kama mwezi nkaipga chini
 
Pia inahitaji poweful machine kidogo na inakula bundle [emoji1]
Nilifanya kama mwezi nkaipga chini
Hiyo 500 no dola au Tsh ?
 
Unatumia broker gani na method ipi ya deposit?
Valutrades (UK) na Tickmill (Seychelles). Mi natumia moving average crossovers na kiindicator cha kunionyesha mwanzo au mwisho wa trend. Tafuta (google) indicator inaitwa StarTrendReversal.ex4. UKichanganya na za kwako nina uhakika itakusaidia ila uvumilivu wa kuitumia indicator kabla ya kutrade real money ni muhimu sana. Master the tricks then money will follow you.
 
Nimeuliza kingine umejibu hadi swali la indicator ahahahah. Huwa situmii indicator mie
 
Back
Top Bottom