Inakuwaje hii kiongoziPambana na appen na oneforma mkuu wana viproject vingi vingi ukikomaa haswa hukosi $30 kwa wiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuwaje hii kiongoziPambana na appen na oneforma mkuu wana viproject vingi vingi ukikomaa haswa hukosi $30 kwa wiki
Inakuwaje hii kiongozi?Jifunze kucheza game za NFT .. unaweza kupata zaidi ya dola 40 kwa siku ukifika level ya intermediate.
Mkuu kua makini Yani ucheze game et ulipwe ,utaambulia manyoyaInakuwaje hii kiongozi?
Mkuu unajua watu hatuelewani tunaitaka ujuzi sio site direct leo hii mtu akienda upwork bila ujuzi haina tija na Wala hatoambulia kitu zaidi ya manyoya nataka ujuziSio lazima uinvest, kuinvest ni uamuzi wako mwenye kwa mfano kununua connects upwork japo ukijiunga unapewa za bure au kulipia premium membership freelancer.
By the way inategemea unafanya nink kama graphics kuna platform nzuri zaidi kwa ajili ya madesigners tofaut na hizi upwork
Duh unaogopesha ngoja tujaribu haina kufeli asante sanaSometimes ujuzi unaupata njiani ukiwa unajaribu mambo. Mfano, nilianza fanya subtitling nikiwa sina abcs, the thing nilikuwa napewa transcription ikiwa kwenye ass file mm kazi kusync sentence ziendane na mzungumzaji na zilikuwa character 63 per screen.
Overtime nikaja fanya subtitling ya BBC ambapo sasa nikawa introduced to netflix subtitling ambapo characters hazizidi 43 kwa mstari na mistari haizidi miwili per screen na mstari haukai zaidi ya sekunde 3.5 na ukaaji wake usipungue sekunde 1.25 I guess.
Yote haya nilifunza along the way.
Everyday unajfunza mambo mapya mkuu.
Najifunza kutoka kwako.Nimeajiriwa na Nina muda mwingi ambao unapotea bure.Natamani nije kuwa Kama huyo sister uliyemtrain Ila nakosa njia ya kuingiliaAnafanya kazi amejiriwa hiyo ni part time job. Na hata hafanyi kazi za marketing online anafanua shughuli nyingine nyingine ila amededicate muda wake na anatoa kazi nzuri.
Watu wanapiga pesa nzuri tu mbona sema sio kwenye issue za survey
Hapana mkuu sikumtrain ila tu namfaham ametoka humu yuko vzuri sanaNajifunza kutoka kwako.Nimeajiriwa na Nina muda mwingi ambao unapotea bure.Natamani nije kuwa Kama huyo sister uliyemtrain Ila nakosa njia ya kuingilia
Ni noma sana kukosa ajira kunatuyumbisha.Wakati unawaza online business usisahau kuwa uliruhusu vibaka kushika dola kwa hiyo cha mtema kuni kinakusubiri.
View attachment 2158035
Upwork wako serious sana kama hiyo ya data entry wanataka uwe na MS Excel certificate ambayo ni $150,kama mhasibu uwe na CPA yaani wamebase kwenye Professionalism kuna watu wanapiga $25+/hrs
HOW MUCH CAN YOU EARN?
Remotasks pays per task that you complete correctly.
Here are the expected pay rate and the approximate duration of some tasks.
Mfano wa 3D annotation(Lidar annotation)
- Image annotation: 0.05 – 0.20 USD per task (< 4 minutes).
- Categorization: 0.01 – 0.02 USD per task (< 3 minutes).
- For audio transcription and other tasks, you can expect to earn 1-2 USD per hour.
- Lidar: 5 – 80 USD per task ( 3 – 6 hours per task).
Training ilikuchukuwa muda gani kumaliza?Hii kazi ngumu na inatembea na bundle kinoma hii kazi ya lidar.
Mimi nilikula training nikaifanya kama mwezi nikaiacha
Annotation sikufanya maana naijua na niliona haina ela, training ilinichukua kama week kwa kusoma mwenyewe na pia kuna training wanazifanya wakenya via internet ukijiunga renotask unakuwa wapokea invitations.Training ilikuchukuwa muda gani kumaliza?
Ulitengeneza kiasi gani per month?
Hiyo 500 no dola au Tsh ?Annotation sikufanya maana naijua na niliona haina ela, training ilinichukua kama week kwa kusoma mwenyewe na pia kuna training wanazifanya wakenya via internet ukijiunga renotask unakuwa wapokea invitations.
Baada ya hapo kuna paper unapga ukifaulu unaanza kazi. Technically nlicheat lile paper maana nligundua weakness ukikosa ukapga back back then ukianza piga next inakupa right, sina hakika kama hii weaknéss bado ipo maana naongelea mambo ya 2 years ago.
Kama 500 au zaidi sikumbuki vizuri maana mpaka pia ukute task zipo si kwamba zipo tu muda wote lakini zipo mara kwa mara. Halafu itakuchua masaa mengi zaidi ya hayo mwanzoni.
Pia inahitaji poweful machine kidogo na inakula bundle [emoji1]
Nilifanya kama mwezi nkaipga chini
DollarHiyo 500 no dola au Tsh ?
Ndo zipi hzo mkuuJifunze kucheza game za NFT .. unaweza kupata zaidi ya dola 40 kwa siku ukifika level ya intermediate.
Valutrades (UK) na Tickmill (Seychelles). Mi natumia moving average crossovers na kiindicator cha kunionyesha mwanzo au mwisho wa trend. Tafuta (google) indicator inaitwa StarTrendReversal.ex4. UKichanganya na za kwako nina uhakika itakusaidia ila uvumilivu wa kuitumia indicator kabla ya kutrade real money ni muhimu sana. Master the tricks then money will follow you.Unatumia broker gani na method ipi ya deposit?
Valutrades (UK) na Tickmill (Seychelles). Mi natumia moving average crossovers na kiindicator cha kunionyesha mwanzo au mwisho wa trend. Tafuta (google) indicator inaitwa StarTrendReversal.ex4. UKichanganya na za kwako nina uhakika itakusaidia ila uvumilivu wa kuitumia indicator kabla ya kutrade real money ni muhimu sana. Master the tricks then money will follow you.