Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Foreksi.jpg
 
Naomba endelea Kaka how to join ?
Nenda playstore pakua app ya "premise"

Hiyo app itakuwa inakupa survey za maswali na survey za mfumo wa picha

Survey za maswali (ambazo ndio mara nyingi unapewa) hazina mtonyo mrefu, ila hizi za picha ni kama jackpot

Uzuri wake kwenye malipo wamerahisisha sana, yani kibunda kinaingia moja kwa moja kwenye line yako ya simu

Ila sasa hizi wamebadili kiwango cha chini kutoa ni mpaka 30k (kama sikosei) ila zamani hata buku tu unatoa
 
Appen wana survey nyingi ila ukiweza kuwacheat kuwa uko kenya utapata kazi nyingi za kiswahili ambapo wanalipa 2.5 to 5$ kwa saa na unafanya masaa 20 kwa week ukisikiliza na kireview sauti.
Otherwise wana kazi za kukusanya picha pia kwa ajili ya kutrain AI.
Hii appen ipo play store?
 
huwa naona watu wanapromote tu kuingiza pesa online, lakini sijaona wakitoa shuhuda wamefanikiwa kutoa hizo pesa, kwanini?

umesahwahi kutoa hizo pesa?
Ukifanikiwa na mchongo wowote wa online tupe mrejesho .
 
Beginner

enrollapp.com

Legend

We Test.com
Testerwork.com
Usercrowd.com

Nahitaji

Bando La Muda Wote Online
Strong Reliable VPN
Lain Ya Safar Com Kenya
Kuwa Smart Kwenye Kufanya hizo Kazi

Fuatilia hayo Utanikumbuka
Mkuu unaweza nielezea hapa shida ni nini?
Screenshot_20220320-105545.jpg
 
Kwahy tz inayokubali ni PayPal au payoneer?
Sina hakika kwa appen mkuu kama ukiweka uko tz utapata option ya paypal sina hakika. Kuna platform nyingine haijalishi unaweka location gani bado paypal utaiona lakini kwa appen sina hakika maana mimi wakati nafanya kazi appen nlikuwaga nalipwa via payoneer. Nna miaka kama minne siitumii appen.
 
Shukrani mkuu,na kuhusu hii PREMISE inahitaji ujuzi wowote kuifanya!?
 
Back
Top Bottom