Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Machine /pc utakayotuma lazima iwe very powerful yenye gpu na cpu kubwa kuanzia $1,000+
Gaharama za internet
Gharama za umeme
Nimekupata. Kwenye maelezo yangu nimefafanua kwamba mfumo wa kufanya mining wa RENEC kwa sasa ni tofauti na coins nyingine. Unaweza kutumia simu yako ya mkononi tu na kuhitaji data wakati wa kufungua app tu. Baada ya hapo unaweza kuzima data hadi masaa 24 yapite. Na zaidi ya yote haikugharimu pesa direct.
 
Nimekupata. Kwenye maelezo yangu nimefafanua kwamba mfumo wa kufanya mining wa RENEC kwa sasa ni tofauti na coins nyingine. Unaweza kutumia simu yako ya mkononi tu na kuhitaji data wakati wa kufungua app tu. Baada ya hapo unaweza kuzima data hadi masaa 24 yapite. Na zaidi ya yote haikugharimu pesa direct.
Ni lini utapanda samani
 
😂😂😂Pazuri zuri tu si indicator tu ,wenzio wako kweny frame zao za maduka ela wanaiona Ila huku wanakushawishi Indicator😂😂
Ukiwa too biased ni shida sana hapa duniani. Tuwe optimistic jamani, hvi ni nani aliyekuambia kwamba ukitumia indicators kutrade fx au stocks or indices hupati profit ni nani? Hakuna strategy bora kwenye financial markets. Infact, majority ya hao wanajidai wanatrade kwa kutumia price action huwa wanakula za uso balaa. Siyo kwamba ukitumia indicator basi wewe ni dumb kabisa kuhusu price action. I make money using indicators that suite my trading needs!

Mapene.jpg
 
SME nikampuni ya uhakika kutoka Marekani inayolipa kwa masaa, kwa siku, kwa wiki, kwa mwezi, miezi hadi mwakaa

Naweza kujiungaje
??

Jisajili kwa line yako kisha downlod App ya kampuni utakutana na offa yako ya Tsh 10,000/= iwekeze ukitaka uanze kuvuna faida [emoji857][emoji857]

Malipo hufanyikaje??

Malipo yote hufanyika Kwa njia mbili kama ifuatavyo[emoji116]

M PESA na mfumo wa USDT Kwa wale wenye Wallet

Vifurushi vyake vikoje
??

Baadhi ya vifurushi vyake ni hivii hapa [emoji116]

Ukiweka Tshs 30,000/= utapokea sh. 1440 kila siku kwa siku 7 kwa muda wa wiki 5

Ukiweka Tshs 80,000/= utapokea she 4320/= kila siku kwa mda wa siku 15 kwa muda wa wiki 10

Ukiweka Tshs 200,000/= unapokea shs 12,000/= kila sikuu kwa siku 30 kwa miezi mitano

Ukiweka Tshs 500,000/= Utapokea shs 34,000/= kila sikuu kwasiku 60 kwa miezi 10

Utawekeza tena na tenaa

Withdrawal


Kiwango cha chini cha utoaji ni Tsh 5000/= kwa njia ya m-pesa au USDT

withdrawal fee ni 15%

Jisajiri link

VMX7SZ7M


Ingia kwa group [emoji116]
SME TANZANIA[emoji1241].
jisajili kisha download app alafu login kupitia taarifa zako za usajili.. utakuta ten ya offer investment unufaike.. ukitaka kuweka Hela Yako ni wewe but Sio lazia
Mzee mbn hii app haipo playstore?? Isije kuwa in kirusi sheikh?
 
Kuna apps ambazo unaingiza kipato kidogo kwa kushare data(Mbs). Mfano wa hizo app ni Honey Gain, Peer2Profit n.k
Tuanze na App hii inaitwa Peer2Profit haitokuingizia pesa nyingi kwa haraka ila utapata chochote kitu kutegemea na matumizi yako ya internet.

App hii inakuwezesha kuingiza pesa kwa kushare internet yako. Unaweza kuearn kuanzia $2 mpaka $1000 kila mwezi kulingana na how active you are.


Tumia link hii [emoji115][emoji115][emoji115] kujisajili. Ni simple tu, bonyeza link itakupeleka playstore download kisha signup kutumia gmail yako. Then seat back and relax.

Hii App ni safe na ina ratings 4.79/5 meaning ni salama na inaaminiwa.
Hii haina faida kwa sisi tunaotumia WiFi za mtaani maana wanataka wewe ndo uprovide data...
 
Habari wakuu.

Naombeni njia ya kweli ambayo siyo scam ya kuingiza $2 online kwa siku.

Isiwe blogging na apps, forex, kubet, cryptocurrency na referral invite networking. sizitaki hizi njia kwasababu:

-Blogging na apps sina uzoefu nayo na sijasomea IT,
-Forex kuijua inabidi uache shughuli nyingine uconcetrate nayo,
-Kubet hakutabiriki, leo unapata kesho unakosa,
-Crypocurrency mtaji wake ni mkubwa, kima cha chini ni 100,000,
-Referral invite networking watu wanaiona ni utapeli kwakuwa wengi wameshalizwa.

Karibuni kwa ushauri wakuu, nitafurahi sana nikipata njia ya uhakika ya kuingiza $2 online kwa siku.
Karibu huku[emoji116][emoji116]
Screenshot_20220328-230922_MetaTrader%205.jpg
 
Back
Top Bottom