Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

Miezi saba umenuniwa halafu bado unasema mke wangu!! We jamaa wewe!
 
Na kabla ya kutoa talaka ujipange bro, usije pata hasara. Lazima huwe timamu upstairs.
 
Mwanamke aliye kosa busara na hekima huwa hivyo! Huwezi taka kushindana na mtu aliye pewa nguvu ya mamlaka tangia kuumbwa kwake, hamuhitaji suluhu ninyi
 
Ndoa ndoano
Halafu mbona kama umejiunga Jana? [emoji849] Au ndo nyie mnaobadili ID
 
Kuna mtu anampa kiburi huyo wanawake hawapogi hivyo kama yupo serious na mahusiano hizo issue ndogo ndogo atazipotezea na atafocus na mahusiano.

Ukiona ameanza Drama za kipuuzi kama hizo huyo ni mawili anajiandaa kutafuta mtu mwingine yaani mpango mwingine wa maisha anakuona wewe kama ni changamoto au tayari ana mtu anakutafutia timing ili mzinguane ili muachane.

Mpe anachokitaka. Unabembeleza nini na wanawake wapo kibao huko nje wanaitafuta ndoa kwa mwaposa na kwa waganga wa kienyeji?

Mwambie tu mama naomba nisikunyime amani. Haya maisha hatujaja kuteseka,hebu tupeane uhuru wa kuishi tunavyotaka. Kwanini tugombane wakati maisha ni maelewano. Mpe kama ni talaka ajue pa kuanzia mpango wake. Baki na watoto uendelee na life bila usumbufu.
 
Ukioa na kua na familia utakuja kumuelewa Mzee kwa nini alikua na kimada nje.
 
Matatizo mengi ya wanawake - wanaume tunakuwa hatuhusiki - wale viunge wako complicated kuliko unavyofikiri - kuna asilimia kubwa tatizo wala sio wewe - sasa pale unapoanza kujihisi na kuanza kutafuta makosa yako ya zamani na kuyaombea msamaha ni kama unampa nafasi ya kuficha kinachomsumbua - unampa sababu ya kuteseka matatizo yake na wewe.
Ndugu usichokonoe makosa ya nyuma, wewe usimjali, piga kimya, usibadirike kitabia- rudi nyumbani muda uliomziesha- endelea na issuea as if nothing will happen - Hakuna kuhama nyumba - acha mazingira yeye ndo awe chanzo ya mstakabali wa ndoa yenu.Hayo mambo ya vikao ndo unazidi kuchochea moto na kujionesha ulivyo desperate.
 
Ukioa na kua na familia utakuja kumuelewa Mzee kwa nini alikua na kimada nje.
Kwa mzee ilikua too much aisee uyo mama anyofanya yupo sawa kabisa sasa amestafu si aende huko huko kwa vimada wake sasa mama ndo awe bize kuuguza presha na tezi dume za mtu mkuu wakati enz za nguvu hakuna la maana alilofanyia familia
 
Mkuu umeoa?
 
Pengine kagombana na bwana wake wa nje huko hahaha
 
Reactions: M45
Hujapata wa kufanana nae, vunja hiyo ndoa na huyo sio chaguo sahihi!
 
Hivi ikitokea ukambaka mkeo anaweza kwenda kukushtaki mahakamani??

au kila siku mletee ukatuni katuni na ucheshi wa kumtania tania mpaka gubu limuishe...!!!
 
Ndoa ni tukio la khiyari ya watu wawili kukubaliana kuishi na sio shuruti.......

Ndoa isiyotokana na khiyari ya wahusika inageuka kuwa gereza la mateso badala ya kuwa muunganiko wa furaha.......

Kila mwanadamu ana ukomo wa uvumilivu ikiwa kinachomfanya avulimie bado hakijapatiwa ufumbuzi.....

Ukomo wa uvumilivu unaweza kuja na madhara kama vile vidonda vya tumbo, kisukari na presha kutokana na msongo wa mawazo unaouita uvumilivu.......

Kama ndoa imeshindikana ni kheri mkatengana ili Amani iendelee kuwepo kati yenu mkiwa tunza watoto mkiwa mbali mbali.... wewe sio wa kwanza na hutakuwa wa mwisho....

Kipi bora kwako....ufe kwa presha na msongo wa au uendelee kuishi umhudumie mwanao.....
 
Kwa mzee ilikua too much aisee uyo mama anyofanya yupo sawa kabisa sasa amestafu si aende huko huko kwa vimada wake sasa mama ndo awe bize kuuguza presha na tezi dume za mtu mkuu wakati enz za nguvu hakuna la maana alilofanyia familia
Wewe ni mwanaume utakuja kuelewa mbeleni, mwanzoni nilikuaga najua Mzee wangu ni mzinguaji lakini nimekuja kumuelewa sasa kwa nini alikua anafanya anayofanya. Wanawake ni nuksi, unaweza ishi nae ndani anakuambia maneno ya ajabu hata ukimuona ukawa husimamishi.


Wanawake ni viumbee wa ajabu sana ingawa ndio mama zetu, dada zetu lakini akiwa mkeo au mpenzio basi huwa wanakua na akili mbovu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…