Uwoga ni dhambi
Member
- Jul 31, 2026
- 18
- 61
Mkuu Mimi Niko naianza na Leo Niko kwa fundi, kuna watu watatu humunwatakupa mwongozo kuhusu vyombo vya MotoNataka kuingia kwenye biashara ya daladala, lakini nahitaji ushauri wa wazoefu.
Kwa walio kwenye biashara hii, ni mambo gani muhimu ninayopaswa kuzingatia kabla ya kuanza?
Hongera kwa kuwaza hiii biashara, fatilia Uzi nilio fungus mwezi AprilNataka kuingia kwenye biashara ya daladala, lakini nahitaji ushauri wa wazoefu.
Kwa walio kwenye biashara hii, ni mambo gani muhimu ninayopaswa kuzingatia kabla ya kuanza?
Hii vita ya wamilki na madereva unatokana na nini wakati nyote ni watafuta riziki?Ni biashara kichaaa kidogo...check routes zenye abiria weng mara nyingi hiz lzm uhonge LATRA..check dereva mzur na usje kucheka nae...
Nimeanza kujifunza wamilki nao wanadhani wakishakujua magari basi kilichobaki ni Kupiga hela Tu, hapa ndipo wanashindana na madereva na kondakta. Matengenezo na huduma kwa gari ni hafifu mnoNi biashara kichaaa kidogo...check routes zenye abiria weng mara nyingi hiz lzm uhonge LATRA..check dereva mzur na usje kucheka nae...
Mkuu kwema ulifanikiwa kupata gari.Mkuu Mimi Niko naianza na Leo Niko kwa fundi, kuna watu watatu humunwatakupa mwongozo kuhusu vyombo vya Moto
1. MadMax
2.Lambard
3. Offshowmen
Gari nilishapata Yuko kwenye hatua za mwisho za matengenezo na ukarabati ili iweze kufaa kwa kaziMkuu kwema ulifanikiwa kupata gari.
Nawashukuru kwa mawazo na ushauri wenu, Shukrani zaidi nitarudi hapo baadae kwa Uzi maalumMkuu kwema ulifanikiwa kupata gari.
Kuna ukweli fulani hasa kwa mafundi, lakini kuhusu uzuri na ubaya si kweli. Watu killa siku wanangu ya magari na yamejaa kila kona miaka na miakaBiashara yoyote ya chombo cha moto kama hutegemei kuendesha wewe achana nayo. Kuanzia bodaboda, bajaji, toyo, coaster, Yutong, fuso, malori(truck) etc. Ndo maana zaidi ya 95%, wamiliki wanabadilika kila baada ya miaka michache, wanakuja wapya kama wewe, hizo % zilizobaki ndo wakongwe akina Abood e.t.c. Kuna watu watanipinga lakini naongea hili nina uzoefu nalo wa miaka mingi, tatizo linaanzia kwa utakao wakabidhi chombo. Kila mmoja anaona kama amepata nafasi ya kujikwamua na umaskini, kama watumishi wa serikali wanavyoichukulia serikali ili waipige, konda na dereva pia wanakuona kama serikali, bado latra, traffic, fundi gereji, bima, sheli,. Kuna wakati dereva akipiga simu unatamani usipokee. Fanya research kabla ya kujilipua.
Ameshanunua? Au anasikia maneno tuKuna jamaa hapa kwenye panton anamwambia mwenzake eti kununua daladala ni sawa na kupanda mbegu kwenye miiba
Ukweli mtupuBiashara yoyote ya chombo cha moto kama hutegemei kuendesha wewe achana nayo. Kuanzia bodaboda, bajaji, toyo, coaster, Yutong, fuso, malori(truck) etc. Ndo maana zaidi ya 95%, wamiliki wanabadilika kila baada ya miaka michache, wanakuja wapya kama wewe, hizo % zilizobaki ndo wakongwe akina Abood e.t.c. Kuna watu watanipinga lakini naongea hili nina uzoefu nalo wa miaka mingi, tatizo linaanzia kwa utakao wakabidhi chombo. Kila mmoja anaona kama amepata nafasi ya kujikwamua na umaskini, kama watumishi wa serikali wanavyoichukulia serikali ili waipige, konda na dereva pia wanakuona kama serikali, bado latra, traffic, fundi gereji, bima, sheli,. Kuna wakati dereva akipiga simu unatamani usipokee. Fanya research kabla ya kujilipua.
Ni kweli aiseeBiashara yoyote ya chombo cha moto kama hutegemei kuendesha wewe achana nayo. Kuanzia bodaboda, bajaji, toyo, coaster, Yutong, fuso, malori(truck) etc. Ndo maana zaidi ya 95%, wamiliki wanabadilika kila baada ya miaka michache, wanakuja wapya kama wewe, hizo % zilizobaki ndo wakongwe akina Abood e.t.c. Kuna watu watanipinga lakini naongea hili nina uzoefu nalo wa miaka mingi, tatizo linaanzia kwa utakao wakabidhi chombo. Kila mmoja anaona kama amepata nafasi ya kujikwamua na umaskini, kama watumishi wa serikali wanavyoichukulia serikali ili waipige, konda na dereva pia wanakuona kama serikali, bado latra, traffic, fundi gereji, bima, sheli,. Kuna wakati dereva akipiga simu unatamani usipokee. Fanya research kabla ya kujilipua.
Na Wana maneno mazuri, lakini hata hivyo tunawasingizia Sana madereva na makondakta, Mimi Sina uzoefu lakini nimeahaona Impression.Nina uzoefu nayo niliifanya kati ya mwaka 2016 na 2024. Nilipobanwa na majukumu mengine nikamkabidhi mtu ndipo nilipoona ugumu na hasara.
Mkuu nilishamiliki daladala, simaanishi kila mtu atapitia njia niliyopitia. Kuna kitu inaitwa return on investment, umewekeza milioni 10/20/30/40 au zaidi zitarudi baada ya muda gani kwa hizo vurugu nilizizitaja hapo juu!?,. Utafiti niliofanya, waliofanikiwa hasa kwenye daladala hawakai na daladala muda mrefu, kwa mfano akinunua coaster baada ya mwaka mmoja na nusu au zaidi kidogo, analiuza likiwa kwenye hali nzuri sana. Hii biashara kama mmiliki ni dereva utakuwa road mwenyewe hata sasa hivi nakushauri nunua gari hata used anza kazi, lakini kama utakaa nyumbani au ofisini ukisubiri hesabu sikushauri. Changamoto ni nyingi mno. Haina tofauti na kilimo cha pdf, upo Dar mashamba yapo Ifakara unahudumia shamba kupitia watu kwa njia ya simu na Whatsapp 😂😂Kuna ukweli fulani hasa kwa mafundi, lakini kuhusu uzuri na ubaya si kweli. Watu killa siku wanangu ya magari na yamejaa kila kona miaka na miaka