Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Dakika tichini(tisini) na nyongeza baaadoooo
Hadi sasa tunahesabu mmeshatoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi sasa tunahesabu mmeshatoka
Jipe moyo na Evelyn SaltDakika tichini(tisini) na nyongeza baaadoooo
Yametimia😀😀ondoa neno ban ya mwezi mmoja. Fanya Ban ya mwaka mzima. Haez kufuzu mkuu
Dah!....noma sana....Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.
Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni makundi tu.