Nipo Chato natafakari mengi, kwa hili pekee Katoliki na Usalama wangelisaidia Taifa kama wangeamua

Naomba nikuulize swali...
Wewe ni Shoga...?
Kama wewe siyo shoga, ni vipi unatabia za ki dada.
Mtu ameshajifia, ila bado unamchamba tu.
 
Umesoma kitabu cha Kabendera mkuu?
 
..mbona IGP Simon Sirro amejenga Kanisa na kawapa Wakatoliki?
 
Sawa yaaigizeni majini yasaidie ushindi kama mkivyoahidi
 
Kwa taarifa Yako, hilo kanisa alijenga na mhemko wa kisiasa. Alitaka liwe kanisa la wakristo wa madhehebu yote. Alitaka na waisalamu wasali humohumo. Wakatoliki wakakataa, ndiyo hao wengine wakakubali
Na waislqm tena !! Kweli huo ni ukichaaa pro max
 
Mleta mada ndio wale huhubiri humu "Kikwete is the best president we ever had"

Hii nchi inaharibiwa na wajinga wenye nguvu.
 
Mshana Jr, kuna kanisa limetelekezwa kulekule ulikotelekezwa uwanja wa ndege wa kimataifa
Uwanja umetelekezwa? Mbona unafanya kazi mkuu? Nimepandia ndege pale like 3 times, ile coaster ya airport mara zote ilikua inajaza abiria. Nawalaumu sana ATC, hawatangazi local roots, wangekua wanafanya advertisement za local roots, uwanja wa Chato ungekua kwenye top 5 ya airports zilizo busy bongo. Wakazi wa Geita wengi bado hawajui kama uwanja wa Chato unafanya kazi kama wengi wetu humu, wanakwenda Mwanza badala ya Chato. ATC bado inafanya biashara kizamani sana, husikii matangazo yao, wanatangaza ya nje tu. Eti Nigeria, India! Umasikini wa shirika hili ni wa kujitakia.
 
Humu watu wanakurupuka kuandika JPM hatosahaulika na zitawauma saana
 
Humu watu wanakurupuka kuandika JPM hatosahaulika na zitawauma saana
Magufuli alikua bonge la genius; anacho sifiwa rais wa sasa ni mambo ambayo anatekeleza ya Magufuli; huko huko Chato kwenye mbuga ya Burigi, lile eneo lilikua na majambazi yanateka magari, usiku ilikua sio salama kusafiri kutoka Biharamuro or Chato to Muleba au Bukoba; mara baada ya mwamba kupandikiza wanyama pale, ujambazi ulikwisha automatic. Jambazi gani likae porini eneo ambalo lina wanyama? Ni watu wasio fikiria vizuri pekee yao ndio wanaweza kumkejeri Magufuli. Jamaa alikua anafikiria, mwamba alikua na akili na maamuzi yake mengi yalikua reasonable
 
Kwa taarifa Yako, hilo kanisa alijenga na mhemko wa kisiasa. Alitaka liwe kanisa la wakristo wa madhehebu yote. Alitaka na waisalamu wasali humohumo. Wakatoliki wakakataa, ndiyo hao wengine wakakubali
Kama alitaka wakristo wa madhehebu yote waabudu pamoja, na waislamu pia....hakika huyo alikuwa zaidi ya kichaa
 
Wise man wezi wengi wanamchukia JPM
 
Kwa taarifa Yako, hilo kanisa alijenga na mhemko wa kisiasa. Alitaka liwe kanisa la wakristo wa madhehebu yote. Alitaka na waisalamu wasali humohumo. Wakatoliki wakakataa, ndiyo hao wengine wakakubali
Yaan waislam wasali kwenye kanisa ?ivi jiwe aliwaroga nyie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…