Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,668
- 2,908
Naomba nikuulize swali...Nina takribani siku ya Tatu wilayani chato pahala nilipopachagua kufika kufanya utafiti dhidi utimamu wa akili wa Raisi wa Tanzania kabla hajawa raisi
Nikiwa kwenye utafiti wangu nikajikuta nafika pale nyumbani kwake kwanza nakutana na jengo la kanisa kubwa AMBALO kwa Sasa limefungwa
Naingiwa na shauku ya kutaka kujua ilo kanisa liliandikwa mtakatifu Joseph mbona limefungwa?
Najukishwa yakuwa baada ya kifo Cha baba Yao familia iliwafukuzia mbali waumini wa kanisa la pente coste walio kuwa wanasalia pale.
Pentecoste na mtakatifu Joseph wap na wapi? Majibu niliyopewa ni kuwa Marehemu alijenga kAnisa kwa lengo la kuwapa katholik lakini walilikataa ndo akaamua kuwapa walokikore
Kwa mtu ANAE ijua catholic uwez Jenga kanisa ukawapa wao hii ilikuwa inshara ya ukichaaa tosha na kwa point hii catholic na usalama walishiriki kutupa kichaa
Wewe ni Shoga...?
Kama wewe siyo shoga, ni vipi unatabia za ki dada.
Mtu ameshajifia, ila bado unamchamba tu.