Nipo Chato natafakari mengi, kwa hili pekee Katoliki na Usalama wangelisaidia Taifa kama wangeamua

Mwacheni apumzike amesemwa vya kutosha shukuruni hata kwa yale aliyofanya kwakuwa kila jambo jema na la kimapito hupangwa na Mungu
 
Mwamba aliwaambia wafadhili akiwemo USAID pesa za misaada kwenda NGO zipitie serikalini na zifanyiwe ukaguzi WA mapato na matumizi, matusi na kebehi kwa ushauri wake vilikuwa vingi, ila leo Elon Musk na DOGE wamefumua mule mule na kuanika madudu ya kutisha!

JPM ulikuwa mbele kwa kila kitu!
 
Why "ubadhirifu" huo unadhani unatakiwa ku share na western media na sio wa Watanzania wenzio? Unataka ku achieve nini? Well, ni nchi gani nyingine duniani waandishi wake wa habari wanaweza kufanya hivo na wananchi wenzie wakampongeza?
 
Kichaa aliijenga SGR ,Kichaa kajrnga daraja la Busisi mtu ulikuwa unakaa masaa kuvuka,kichaa kafufua shirika la ndege lililokuwa linakufa tunahitaji vichaa kama yeye watokee wengine

Familia kwa hilo hawajielewi

Yeye yeye alimjengea Mungu wake kanisa ayakapokuwa anaabudu na familia yake .Makanisa kama hayo huitwa chapel aweza jenga hata ndani ya fence yake awe anasali humo.lakini.kwa kuwa yeye sio.padre au mchungaji hukabidhi kwa kanisa su dhehebu kuwa wawe wanakuja kusalisha hapo

Kanisa katoliki pia hawakumtendea haki kukataa hiyo sadaka ya jengo la kanisa

Wangelipokea hata wafanye kigango

Wangepokea wangeumwa au?

Cha msingi yeye sadaka yake Mungu alishaipokea katoliki watajijua wenyewe na Papa wao na familia watajijua wenyewe
 
Kwa taarifa Yako, hilo kanisa alijenga na mhemko wa kisiasa. Alitaka liwe kanisa la wakristo wa madhehebu yote. Alitaka na waisalamu wasali humohumo. Wakatoliki wakakataa, ndiyo hao wengine wakakubali
Duuh
 
Kama halitumiki kiimani,basi libadilishiwe matumizi.
Sheria kawaida huwa haziruhusu jengo.la ibada kubadilishwa matumizi nje ya lilivyokusudiwa .

Ndio maana kanisa katoliki walivyogoma akaamua kujabidhi kwa walokole waendelee kulitumia kwa lengo alilojengea kuwa liwe jengo ibada
 
Ungekisoma kitabu ungepata upande wake, kaelezea hili jambo kirefu.

Tatizo wewe ni wale wanaitwa "sitaki shule".

Unakihukumu kitabu kabla hujakisoma.
Marketing strategy yako

Kabendera kama alidhani atatajirika kwa kuandika kitabu na kuuza imekula kwake

Watanzania wengi hawana mpango na kusoma vitabu zaidi ya vile vya shule na vyuo wakisoma shule au vyuo

Soko la hilo tabu lake Tanzania hatoboi
 
Kama alitaka wakristo wa madhehebu yote waabudu pamoja, na waislamu pia....hakika huyo alikuwa zaidi ya kichaa
Una akili finyu mno

Kuna kitu kinaitwa Chapel makanisa ya madhehebu tofauti hutumia

Nenda hospital mfano Muhimbili utaelewa maana ya jengo moja kutumiwa na madhehebu mengi

Hayo majengo kwa lugha nyingine hujulikana kama non denominational church building ambalo laweza tumiwa na makanisa ya madhehebu tofauti yenye imani tofauti yanakuwa tu kama ukumbi wa Mikutano tu.ila wenyewe unatumika tu kwa ibada

Marekani yako kibao

Mengine hutoza pesa kutumia Mengine hayatozi .Mtu akiwa na pesa hujenga na kuweka watu wa kuhudumia usafi nk kanisa lolote likihitaji kutumia hupangiwa muda ili wasigongane muda na wengine

Muda wako ukiisha unapisha wengine
 
Toka uliposema kuna siku ukiwa lindo ukavaa dela na wigi ili upone na wajomba,nilikutoa maana kabisa.
 
Why "ubadhirifu" huo unadhani unatakiwa ku share na western media na sio wa Watanzania wenzio? Unataka ku achieve nini? Well, ni nchi gani nyingine duniani waandishi wake wa habari wanaweza kufanya hivo na wananchi wenzie wakampongeza?
Ubadhirifu ni ubadhirifu tu.

Uki share na western mwdia au na Nieth Korea utabaki kuwa ubadhirifu tu.

Badala ya kumuhoji mtu anayeonesha ubadhirifu, kwa nini usihoji wanaofanya ubadhirifu ili kusiwe na ubadhirifu wowote wa ku share popote?
 
Wewe ndo kichaa... badala ushughulike na maisha yako.. kutwa kucha kushugulika na maisha ya Chuma... au kipindi chake ulibinywa makende ukashindwa pumua vizuri? Na ukibinywa makende automatiki unakuwa ng'ombe wa nyama.. na ng'ombe wa nyama inajulikana kabisa hana kazi....
 
Ubadhirifu ni ubadhirifu tu.

Uki share na western mwdia au na Nieth Korea utabaki kuwa ubadhirifu tu.

Badala ya kumuhoji mtu anayeonesha ubadhirifu, kwa nini usihoji wanaofanya ubadhirifu ili kusiwe na ubadhirifu wowote wa ku share popote?
Kaka; wewe upo huko duniani, nchi za watu huko, una exposure kubwa kuliko wengi wetu humu na umejenga heshima yako kubwa hapa jukwaani. Nitajie nchi yeyote duniani (achana na hizi za Africa ) ambayo mwandishi wake wa habari anaweza ku share habari za "ubadhirifu" kwa media za nje ya nchi yake na wananchi wenzie wa nchi hiyo wakamshangilia, nitajie just one.
 
Kile kichwa kilikua kimejaa ubongo. Hata corona, mwishoni mwa siku WHO wenyewe walianza kutembelea kwenye kanuni zake; kuna watu walisoma Sayansi na Sayansi iliwaelewa BUT kuna wengine walikwenda kukariri vitabu vya sayansi na sayansi wala haikuwaelewa. Kiongozi gani mwingine kafariki na watu wanamjadiri hadi leo? Trump na Elon wanapita mule mule, kuhusu madeni na mikopo during pandemic alizishauri financial institutions na zikaelewa. Wapuuzi, wezi, wavivu na wasio fikiria vizuri ndio wanamchukia mwamba.
JPM habari nyingine ile
 
Kwa taarifa Yako, hilo kanisa alijenga na mhemko wa kisiasa. Alitaka liwe kanisa la wakristo wa madhehebu yote. Alitaka na waisalamu wasali humohumo. Wakatoliki wakakataa, ndiyo hao wengine wakakubali
Wakatoliki walihisi watapata sadaka kidogo,kumbe lento la marehemu lilikuwa umoja.
 
Hana mfano na roho na mwangwi wake vitaendelea kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…